The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Tulisumbuka kumjua Magufuli 2015, lakini leo hii tunajua tutapata nini kama akichaguliwa. Watanzania wanataka matokeo na sio maneno au ulevi. Muda wa kumtafakari umepita.
1. Umemjua Magufuli kwa lipi hasa na kivipi?
2. Atakupa nini hasa ambacho huna tangu enzi za Kikwete 2015 mpaka leo?
3. Ameongeza nini katika nchi hii anbacho hakikuwepo mwaka 2015 kurudi nyuma?
4. Kwangu mimi na wengine mamilioni, Magufuli is a disaster. He has brought more harm than good. Tanzania ya 2015 ni ileile, hakuna ajabu lolote....
5. Tangu mwaka 2015 tuna mambo mambo mapya mengi hasi (negative) yaliyoletwa/sababishwa na utawala wa Magufuli; mauaji, kutekwa binadamu na kupotezwa, watu kupigwa risasi hadharani mchana kweupe na hakuna uchunguzi kufanyika, hali za maisha ya watu kiuchumi kuporomoka kuliko kawaida, kuvunjwa kwa sheria na katiba waziwazi na watawala....
6. Kwa mara ya kwanza tangu Uhuru Tanzania imeongozwa na Rais mwoga, asiyependa kukosolewa na ukijaribu unatekwa, kupotezwa ama kuuwawa kabisa....
7. Kwa mara ya kwanza tangu uhuru, Tanzania imeongozwa na Rais "selfish", "egomanic" and "tyrant ". Watu wenye sifa hizi hawawezi kufanya jambo zuri....