Kwa ajili ya kumbukumbu: Magufuli hatojiongezea muda

Mazingira ndiyo yataamua aongeze ama asiongeze. Katiba si msahafu wa Mungu. Kama tulibadilisha kutoka chama kimoja mpaka vyama vingi kwa nini tusibadilishe kwa kutoa kipindi cha bonus? Hamna jipya kama rais ataongezewa muda. Na katika kumuongezea muda atusaidie kupata katiba mwafaka zaidi.

Ile katiba ya Warioba ambayo ilikuwa ni moja ya ghost mradi wa kula fedha za wajinga wa Tanzania makabrasha yake yatafutwe na kukungutwa vumbi. Tutafutemo vipengele venye manufaa viunganishwe na vingine tupate katiba mpya itakayo kubalika na wengi 85% au zaidi.

JPM ndiye mtu pekee kwa sasa atakaye tusaidia kuguguna huu mfupa wa katiba uliowashinda wengine. Kaonesha hivyo kwa kumalizia viporo vingi vya tangu awamu ya kwanza ya Nyerere. Kiporo cha katiba tutamuomba akimalizie kwa kumpa bonus ya miaka5 zaidi baada ya 2025 panapo majaaaliwa ya Mungu Mwenyezi.
 
kiti cha uraisi ni kitamu sana kwa dalili zinavyoonekana ataongeza muda tu maana wale anaokulanao mema
ya nchi watamushauri sana aendelee
 
Utata wa kucheza rafu za makusudi? (Eti Hussein Mwinyi apate 76% na Maalim apate below 20%, Wizi mtupu)

Hii statement yako kuwa mambo ya uchaguzi mara nyingi yana utata ni haste generalization, SI LAZIMA YAWE NA UTATA
 
Hawa vihwrehere ni kqma madikteta.

Akiondolewa mmoja, mwingine anachipukia.

Kama mlivyohangaika wakati wa kampeni kumpa kiki Lissu na mkashindwa big time ndivyo ambavyo suala la kuongeza muda mtakavyo shindwa kulizima na kulizuia.

Asilimia kubwa ya Watanania wanataka na wanatarajia iwe hivyo. Hapa labda pasiwepo kibali cha Mungu. Kumbuka sauti ya wengi katika jambo lolote jema ni sauti ya Mungu.

Hili la kuongeza muda si jambo jema masikioni kwa mafisadi na wale watu wao wanaotaka wawaingize kwenye uongozi wa nchi waendeleze ile miradi yao iliyozimwa na JPM ya kulitafuna taifa.

Mafisadi watajaribu kuzuia na watawalipa vikaragosi wao kujaribu kuzuia hili lisiwezekane na ndio wamesha anza hapa jF. Rekodi ya utendaji wa JPM inawapa taabu sana na swali lisilo watoka kichwani ni itakuwaje huyu Bwana Mkubwa akikubali ombi kutoka kwa wananchi walio wengi la kumtaka aongezewe muda.
 
Lissu hajashindwa, Uchaguzi ulibakwa!
 
Lissu hajashindwa, Uchaguzi ulibakwa!

Endelea kuota. Yuko Ubeligiji kaenda kuficha uso wake kwa aibu. Kawaacha solemba maadui wa ndani wa Taifa la Tanzania wakikokotoa hesabu za kutoa na kujumlisha hasara za fedha walizompa kukodishia chopa na kugharamikia kampeni.
 
Mimi nakula bata leafy suburbs sehemu zilizopangiliwa zenye weekly garbage collection, fire engines, good schools na ZIP Code nzito siwezi kuhangaika kampeni za Tanzania.

Natoa maoni tu kama mzawa.

Unaelewa leafy suburbs ni nini?

Usione tunagongana JF ukanichukulia poa tu.
 
Kiranga yaani Karne ya 23 wewe bado unamawazo ya karne ya 18 ya kuzamia meli na ubaharia, maisha haya ya kupita naya utumwa wa duniani na washetani wa jehanamu.
 
Wananchi wengi ndio wanatamani JPM aongeze muda. Kama China na Urusi, kwa ajili ya uchumi wa taifa kukua kwa kasi.
 
Nadhani Ngabu umeona ujumbe wa Ndugai kuwa Magufuli atake asitake lazima aongezewe muda bunge hili.
 
Urais si mchezo ndugu hasa kwa nchi za kiafrika kuachia unataka moyo
 
Kiranga yaani Karne ya 23 wewe bado unamawazo ya karne ya 18 ya kuzamia meli na ubaharia, maisha haya ya kupita naya utumwa wa duniani na washetani wa jehanamu.
Logical non sequitur.

What has that got to do with the price of pork in China?

Mimi sizamii meli, nishamiliki bandari.
 
Anastahili kunyongwa baadaye.
 
Huo mzigo Museveni na Mugabe haukuwashinda au? Kwanini alitaka bunge la Chama kimoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…