Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #161
Anha!No. Umeuliza anakula bata wapi. Nikakutajia.
Ukasema hiyo ni personal business.
Unauliza ana yacht wapi?
Nikakuuliza, kwa nini unasema huyo kimada ni personal business halafu unauliza yacht?
Kitu gani kinamfanya kimada awe personal business na yacht isiwe personal business?
Kuulizia Magufuli anavyokula bata si kuulizia personal business za Magufuli?
Huyo kimada wake ni kweli au ni maneno tu ya watu?
Kama ni kweli, wameanza lini? Baada au kabla ya yeye kuwa Rais?
Mimi namzungumzia Magufuli, Rais.
Je, kuna ushahidi wowote ule, au hata dalili yoyote ile kwamba anaitumia nafasi yake hiyo ya urais, kuishi maisha ya anasa kama wafanyavyo viongozi wengine wa Afrika kama Nguema Mbasogo wa EG au kama ilivyokuwa kwa Mobutu, Bokassa, Dos Santos, na wengineo?
Binti wa Dos Santos sasa hivi yuko matatani.
Cheki mambo ya Teodore Nguema
Swiss to auction 25 supercars seized from son of Equatorial Guinea dictator
Luxury cars seized from vice president Teodorin Obiang Nguema are expected to fetch $18m at Geneva auction
Hao watu ni wazi wanazitumia au walizitumia nafasi zao kuishi hayo maisha ya anasa. Uongo?
Does Magufuli or any of his acolytes live like this?
Huyo Kabula anaishi hivyo kabla na baada ya Magufuli kuwa Rais?
I’m all ears....