Trump muda wake wa kuondoka bado haujafika.
Ukifika ataondoka kwa amani kabisa.
Ataondoka kwa kinyongo. Kauli anazotoa haziashirii amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump muda wake wa kuondoka bado haujafika.
Ukifika ataondoka kwa amani kabisa.
Ataondoka kwa amani.Ataondoka kwa kinyongo. Kauli anazotoa haziashirii amani.
Ya Trump ni tofauti kabisa na hawa watawala wa Afrika. Hakuna uwezekano wa kung'ang'ania Ikulu na hata yeye anajua hilo. Kinachotokea ni panic tu baada ya kushindwa. Huwezi kufananisha na kilichotokea kwenye uchaguzi wetu huu.Si afrika tu, hata trump analeta zengwe.
Hivi we hua ni mnyama au ndege?Kina Kabula, Sundi ndo wanavaa CL na wanaendesha Audi 9.
Kuhusu kuongeza mhula. Tuombe uzima tu Wabunge wataongeza muda na Magufuli atajifanya kaombwa hivyo kakubali unless afe kabla ya 2025.
Au .Hivi we hua ni mnyama au ndege?
Safari hii viherehere ni wengi kuliko bunge lililopita, maana hawa wa safari hii wengi wamepitishwa kwa zile kura za umwagaji damu, na kura za kwenye mabegi.Juma Mkamia Na yule Wa Nkasi wote chali! Atatokea kiherehere mwingine.
Dah Kama huna Akili huna tu.Nyani Ngabu na Paschal Mayalla wote ni wasukuma, na msukuma hata aishi New York hawezi acha ushamba na ujinga flani hivi wa kumsifia msukuma mwenzake hata akila kinyesi
Logical non sequitur.
What has that got to do with the price of pork in China?
Mimi sizamii meli, nishamiliki bandari.
Obviously you care enough to reply to me.Limbukeni katika ubora wako. Who cares? Kumbe vivuli vya Charles Njonjo bado vinaishi.
Obviously you care enough to reply to me.
Kwani taarifa zilizopo hazikufikishi kwenye ukweli kuwa hatoongeza mitano tena! isipokuwa kuchelewesha tu uchaguzi kwa lengo la kumalizia miradi aliyoanzisha?Conjecture.
Gone with the wind.Magufuli hatojiongezea muda.
2025 ataondoka.
Huwa mnamsahau Mungu tatizoOk, so, me being me. The independent minded guy that I am. Native citizen of Realville. That straight shooter that I am. I am no shrinking violet when it comes to expressing my views.
So I’m going to go out on a limb today and say it. If this means I’ll have to eat crow a couple years from now for being dead wrong, then so be it.
Ni hivi: Rais Magufuli [sidhani] kama atajiongezea muda ili atawale kwa zaidi ya miaka 10.
Minong’ono na hofu iliyopo hivi sasa kwamba atajiongezea muda, ni maneno tu. Ni hewa.
Kwa nini nasema hivyo? Ni kwa sababu zifuatazo:
1. Urais ni mzigo. Ni mzigo mzito wenye kuleta msongo wa mawazo. Ni aina ya mateso flani hivi.
Kwa mtu anayejali kufanya kazi na siyo kula bata, basi mtu wa aina hiyo hawezi kutamani kuwepo madarakani kwa kipindi kirefu kuzidi miaka 10.
Ila kwa mtu mla bata asiyejali kazi, kama alivyokuwa Mobutu wa Zaire au Bokassa wa Afrika ya Kati, atataka aendelee kutawala milele.
Rais Magufuli si mla bata. Jamaa dizaini hata pombe [no pun intended] hanywi. Sidhani kama anavaaga masuti ya bei mbaya.
Jamaa hata mamtoni huwa haendi.
Hata mkewe ukimwangalia unaona kabisa naye si mtu wa bata. Sijawahi kumwona kabeba sijui Birkin bags wala kuvaa red bottoms [Christian Louboutins]. Yeye ni mtu wa magauni ya vitenge tu na tu viatu twa kawaida.
Hata weave [wabongo mnaita weaving] yule mama sijawahi kumwona kashonea.
Hao si aina ya watu wapendao kukaa madarakani kwa muda mrefu.
2. Sidhani kabisa kama atataka kwenda down that rabbit hole.
Yaani yeye ndo aturudishe kule kwa zamani tulikotoka? Sioni kabisa hilo likitokea.
Jamaa atarudi zake Chato kwenda kuchunga ng’ombe.
Kwa hiyo, kwangu mimi hofu iliyopo ya kwamba atajiongezea muda, ni hofu isiyo na msingi wowote ule katika ukweli.
Najua kuwa huwa anapita humu maana kuna wakati aliwahi kunijibu kwenye moja ya hotuba zake baada ya mimi kuuliza humu kama alishawahi kufika Marekani 🤣.
Sasa, kwa jinsi alivyo, anaweza akapita humu na kuona nimesema kuwa hatojiongezea muda wa kubaki madarakani, na yeye akaamua kujiongezea ili tu afanye kinyume na nilivyodai mimi, ili nionekane nimekosea.
Don’t get it twisted, he can be petty like that.
Still, sidhani kabisa kuwa atajiongezea muda wa kubaki madarakani.
Na hii mada/ huu uzi, uwe ni kumbukumbu kuwa ‘NN alisemaga’.
Baadaye ✌🏿