Kwa akili ya kawaida mtu hawezi kubinafsisha Bandari zote nchi nzima! Waziri alilishwa nini?

Labda huwa kuna dawa wanawekewa kwenye chakula then akili inakuwa haipo sawa, wakishaanza mazungumzo kila kitu kinakuwa Oooh Yes. Ukinipa hiki wewe utakuwa Nyampala oooh yes, mkeo atakuwa mpishi wangu oooh yes, haya saini hapa na hapa na hapa, Rashiiidi leta ile bahasha mpe huyu ha ha haaaa deal done.
 
Unataka kushindana na watu wanaoijuwa faida ya bandari wakati hata bahari huijuwi ilivyo?

Hakuna anayeshindana na mtu. Ushindane ili iweje? Hapa tumesikia yatokanayo na huo mkataba tukaona tuyasemea.

Jambo la ajabu na kusikitisha ni pale unapo wanaonesha haya mapungu kwa nia njema na huna motive nyengine zaidi ya kuona pengine yatarekebishwa kwa faida ya kizazi hiki na vijavyo bado unaoneka ni mpotoshaji na mwenye nia ovu. Kusema kwa mfano kwa nini bandari za Tanganyika tu, kusema kama ni hivyo ni bora Tanganyika irudi inakuwa nongwa. Hivi kusingekuwa na huu ukataba wenye mambo ya kukera Watanganyika kungekuwa na hizi kauli?

Na kusema kauli hizi nia yake ni kuwaonesha wa husika hiki mlichofanya kinaweza kusababisha haya pengine wajitafakari wajisahihishe.
 
Lazima umsikilize mjomba maana na yeye ni mama.
 
Huyo bi mkubwa ni kwa sababu aliyepo hapo juu ni ndugu katika Imani basi! Hawezi kusema kukubali kwamba kuna makosa katika mkataba huo
 
Waziri alilishwa nini? Hujiulizi bandari nyingi ziko bara, barabara nyingi ziko bara, viwanja vya ndege vingi viko bara, kila kitu kikubwa kiko bara, mnateua waziri kutoka visiwani kusiko na kitu ili awasaidie muwe na kitu kisa MUUNGANO.
Watanganyika tumelogwa brother!!!
Na tutaibiwa sana kisa MUUNGANO
 
Waziri ni mwajiriwa tu! Kwani mwajiri anasemaje?
 
Waziri ni mwajiriwa tu! Kwani mwajiri anasemaje?
Mwajiri wake ametokea huko huko.
Brother kupitia muungano tunapigwa mbaya sana.
Mfano wizara ya mambo ya ndani tunapigwa
2. Wizara ya mali asili na utalii kapewa mume wa binti yake, tunapigwa
3. Ujenzi na uchukuzi tunapigwa
4. Makamba alikuwa ofisi moja zamani na maza , sasa yuko mambo ya umeme tunapigwa
 

Tunaenda kuwa koloni la waarabu
🙄
 
Hawa jamaa huwa wanaamini duniani hakuna kufa?

Mbona ni kama wanapenda sana mambo ya anasa?
 
Waislamu wanaitafuna hii nchi vibaya sn
 
Je? Ilitumika akili ya kawaida?
Au uchawi wa mwarabu?
 
ngoja tuende na waarabu . ujue wakati mwingine kukataa unashindwa na kukubali unashindwa!!
Hakuna mtu aliyekataa uwekezaji wa Waarabu!! Shida ni mkataba wa kimangungo!! Upuuzi mtupu, kweli hawa watu wanatumia akili hata kidogo?
 
Jana niliona sura zao, aibuuu
 
Huyo bi mkubwa ni kwa sababu aliyepo hapo juu ni ndugu katika Imani basi! Hawezi kusema kukubali kwamba kuna makosa katika mkataba huo

Ni vema angemsaidia kuonesha mapungufu ili ya sahihishwe. Kukubali makosa ni ujasiri na ni hambo muhimu la kuonesha kulikuwa hamna nia mbaya wala kujinufaisha binafsi.

Kutumia nguvu kubwa kutetea mapungufu ama kuyahalalisha inafanya ionekane mapungufu hayo ni ya kimkakati.
Matokeo yaje ni kuafanya watu wawe na hisia mbaya juu yako na ni kujiharibia kwa unaowaongoza na wanao kusaidia kuwaongoza unao waongoza. Wanaweza
kukatishwa tamaa, au nawao kutafuta ni wapi wanaweza kufanya mapungufu kwa faida zao.

Kama haitoshi unawapa mahasimu wako silaha ya kukushambulia na kufunika yale mazuri yako yasionekane. Mbaya zaidi Uongozi wa kisiasa unahitaji watu nyuma yako, watu wanao kuamini na kusimama na mh wewe. Haya mapungufu ya huu mkataba yana leta madhara katika hili. Wengine wataamua kukaa kimya na wengine kukuepuka.

Lakini hao je Dp world hatafika mahali wa jiulize kwa hizi kelele zote bado tu tuweke tamaa zetu mbele na kuendelea kichwa kichwa?
 
Binadamu tumepewa uwezo wa kutawala vyote! Naona sisi watanzania ni kama unajiwekea mipaka ya kutawala!

Ni kweli hatuwezi kuendesha Bandari zetu hadi tuwape wengine?
 
Hatari ana sign MOU kabla kuleta bungeni kweli ? Hapana aseee waweke kikomo....20 max 30yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…