Kwa akili ya kawaida mtu hawezi kubinafsisha Bandari zote nchi nzima! Waziri alilishwa nini?

Ni mkataba wa kijinga sn
 
Theory pekeee ambayo itakaaa ni kwamba viongozi wetu wote wanao husika na ku sign mikataba hiyo wamekuwa cloned.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
ngoja tuende na waarabu . ujue wakati mwingine kukataa unashindwa na kukubali unashindwa!!
Mkuu hii ni kama ile "usimung"unye wala usiteme"
Waziri hana kosa kosa ni sisi bara kukubali kuongozwa na watu wa nchi nyingine
Mkuu nadhani tumefika wakati sasa hata hizi nafasi, hasa za mawaziri tuzibinafsishe, hasa kwa zile Nchi zenye democrasia iliyopevuka nasi tutajifunze tena, tenda/Mkataba wa miaka 5. Tunaweza kuwa na baraza mzuri. lakini Mkuu awe mzawa.
 
Sasa kama Mungu aliumba K kwa ajili ya kut...mba wao wakaona haitoshi wakageuza na kuanza kufukua wake zao mitaro bado wakaona haitoshi wakaja kwa wanaume wenzao na kuanza kuwafumua nyuma
 
Kama bado unaamini mtesi wako anatoka kwa demokrasia ya kura tuna safari ndefu
 
Atakuwa alipewa pombe ya kirusi(urusi) wakati wa mazungumzo

Akajikuta anaropoka kwenye mazungumzo
 
Kabisa mkuu
 
Kama bado unaamini mtesi wako anatoka kwa demokrasia ya kura tuna safari ndefu
Kula tuna kula, kura tunawapa [X] na kikubwa ulichokikosa, ni Mapinduzi. Hili, litaenda sambamba ndani ya CCM.

Kama ninavyotaka kuamini matamshi ya J.K.Nyerere, kuwa mapinduzi(demokrasia) na upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM, basi bado mtesi wangu atakuwa ni kuwanyima kula kwa kura.

Kula waliyokuwa nayo ndio inayowapa jeuri.

Jeuri hii niliiona na kusikia baada ya safari ya Mh Rais SSH na Shaka H Shaka. kule Uarabuni..., na kama sikosei kwenye mada iliyoletwa hapa jamvini, kiunagaubaga, iliuliza ni kwa nini Shaka H. alikuwemo kama mmoja wa viongozi wa kiserikali...binafsi, sikuwa na mashaka na weledi au mamlaka ya uwepo wake, bali, iliniridhihishia' Usaka tumbo' wa CCM kwa udi na ugumba,....... nakushauri, rejea matamshi ya Shaka(kama mwenezi na mtumishi wa juu wa CCM) na matendo ya CCM baada ya safari ile na utaona Jeuri waliyopata.

Haijalishi, ni kweli na bado naamini kura ndio kiboko wa CCM na wao wanajua hilo.....Fika! ingawaje naona kuwa wanarudia yale ya Ben. M(R.I.P) ya kununua?? kura.
 
TANZANIA ni SHAMBA LA BIBI NI KUJIVUNIA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…