Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kimsingi ni mkataba wa kijinga sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mkataba ikitokea tumepata Rais mzalendo, utachunguzwaHatari ana sign MOU kabla kuleta bungeni kweli ? Hapana aseee waweke kikomo....20 max 30yrs
Ni mkataba wa kijinga snNi vema angemsaidia kuonesha mapungufu ili ya sahihishwe. Kukubali makosa ni ujasiri na ni hambo muhimu la kuonesha kulikuwa hamna nia mbaya wala kujinufaisha binafsi.
Kutumia nguvu kubwa kutetea mapungufu ama kuyahalalisha inafanya ionekane mapungufu hayo ni ya kimkakati.
Matokeo yaje ni kuafanya watu wawe na hisia mbaya juu yako na ni kujiharibia kwa unaowaongoza na wanao kusaidia kuwaongoza unao waongoza. Wanaweza
kukatishwa tamaa, au nawao kutafuta ni wapi wanaweza kufanya mapungufu kwa faida zao.
Kama haitoshi unawapa mahasimu wako silaha ya kukushambulia na kufunika yale mazuri yako yasionekane. Mbaya zaidi Uongozi wa kisiasa unahitaji watu nyuma yako, watu wanao kuamini na kusimama na mh wewe. Haya mapungufu ya huu mkataba yana leta madhara katika hili. Wengine wataamua kukaa kimya na wengine kukuepuka.
Lakini hao je Dp world hatafika mahali wa jiulize kwa hizi kelele zote bado tu tuweke tamaa zetu mbele na kuendelea kichwa kichwa?
Ni mkataba wa hovyo snHuu mkataba ikitokea tumepata Rais mzalendo, utachunguzwa
.......unasema hata akija Rais mpya au serikali mpya hawezi kuvunjaHuu mkataba ikitokea tumepata Rais mzalendo, utachunguzwa
Theory pekeee ambayo itakaaa ni kwamba viongozi wetu wote wanao husika na ku sign mikataba hiyo wamekuwa cloned.Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
Mkuu hii ni kama ile "usimung"unye wala usiteme"ngoja tuende na waarabu . ujue wakati mwingine kukataa unashindwa na kukubali unashindwa!!
Mkuu nadhani tumefika wakati sasa hata hizi nafasi, hasa za mawaziri tuzibinafsishe, hasa kwa zile Nchi zenye democrasia iliyopevuka nasi tutajifunze tena, tenda/Mkataba wa miaka 5. Tunaweza kuwa na baraza mzuri. lakini Mkuu awe mzawa.Waziri hana kosa kosa ni sisi bara kukubali kuongozwa na watu wa nchi nyingine
Sasa kama Mungu aliumba K kwa ajili ya kut...mba wao wakaona haitoshi wakageuza na kuanza kufukua wake zao mitaro bado wakaona haitoshi wakaja kwa wanaume wenzao na kuanza kuwafumua nyumaWaarabu wamejali
Waarabu wamejaliwa uharibifu uharibifu uporaji na ujangili
Tarajia maafa zaidi
wa uharibifu uharibifu uporaji na ujangili
Tarajia maafa zaidi
Ajiuzulu kwani yeye ndio muamuzi wa mwisho?Huyo waziri ajiuzulu. Anasubiri nini?
Kama bado unaamini mtesi wako anatoka kwa demokrasia ya kura tuna safari ndefuYani haya yote yametokea kama yale ya wakati wa Mkapa. CCM wanaamini wanaweza kununua Uchaguzi.
Mie naona Wananchii tukubali vijitisheti, vikofia, kanga, mipira....pilau soda n.k yani chochote kile watakachokuwa wakirusha tukubali. Ila basi, ikija siku ya uchaguzi, ikija kwenye Kura tuwakatae, wakae pembeni wapate akili, wajitathmini halafu wafanye mapinduzi ndani ya CCM. vyovyote vile hawachaguliki kana ilivyokuwa majuzi kati- in recent past.
Wamasai
Ngorongoro
Bandari
....Tanesco?
....Mbeya?
Kabisa mkuuMkuu hii ni kama ile "usimung"unye wala usiteme"
Mkuu nadhani tumefika wakati sasa hata hizi nafasi, hasa za mawaziri tuzibinafsishe, hasa kwa zile Nchi zenye democrasia iliyopevuka nasi tutajifunze tena, tenda/Mkataba wa miaka 5. Tunaweza kuwa na baraza mzuri. lakini Mkuu awe mzawa.
Kula tuna kula, kura tunawapa [X] na kikubwa ulichokikosa, ni Mapinduzi. Hili, litaenda sambamba ndani ya CCM.Kama bado unaamini mtesi wako anatoka kwa demokrasia ya kura tuna safari ndefu
TANZANIA ni SHAMBA LA BIBI NI KUJIVUNIA TUMtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
Tujivunie tena Mkuu?TANZANIA ni SHAMBA LA BIBI NI KUJIVUNIA TU