nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli mkuu wana makato sana hawa jamaa ila pesa inaonekanaNilijiunga baada ya kuona masela wawili wametoa pesa, mmoja alianza na laki 1 baada ya wiki 3 akatoa ishafika 220,000 ila pesa inachelewa kufika ni ndani ya masaa 48 afu wanamakato makubwa wakati wa kutoa.
Mimi nilianza na 20K, kesho nafikisha 40K.
Pesa ipo sema usiende hadi January, lolote linaweza kutokea.Ni kweli mkuu wana makato sana hawa jamaa ila pesa inaonekana
Ponzi scheme at work, nakupa miezi 3 hadi 6 utapata majibu yakeBaada ya kukutana na met Wangu akiwa anamuelekeza mtu Kujiunga nikajua kumbe ipo na kuona account yake karecharge laki kavuna elf 70 na point nimehamasika Leo naanza na 50 true freedom comes from individuals sacrifice
Hata mimi nina wasi Wasi mkuuPonzi scheme at work, nakupa miezi 3 hadi 6 utapata majibu yake
inaitwa invitation inkind, watalia watu hapa.Naona wezi mnaita watu kuwaibia.
wacha bhuaaaana return on investment 220% in jus 21 days, hata Elon Musk atauza share zake kote aje adeposit hukoNilijiunga baada ya kuona masela wawili wametoa pesa, mmoja alianza na laki 1 baada ya wiki 3 akatoa ishafika 220,000 ila pesa inachelewa kufika ni ndani ya masaa 48 afu wanamakato makubwa wakati wa kutoa.
Mimi nilianza na 20K, kesho nafikisha 40K.
Unajua hesabu kweli?wacha bhuaaaana return on investment 220% in jus 21 days, hata Elon Musk atauza share zake kote aje adeposit huko
Kwani hizi Dec type huwa zinaanzishwa na watu fakiri? Ni Viongozi wakubwa Tu àmbao wamezoea kuumiza masikini wa nchi hii.Kinachonishangaza BOT wapo watu wengi wakiingia mkenge ndio wanazinduka pana muda nadhani wapo wanaohusika kwenye hii mipigo maana hizo riba zinazidi riba zote ila wazee wa Tozo wapo kimya..
Hakuna pesa rahisi.
Ila nature kitu cha ajabu sana...nyumbu wakivuka mto, akiingia mmoja tu basi lundo watatumbukia hata kama wanaona wengine wakiliwa na mamba.
Yote haya ni ili mamba nao waishi.
Kila la kheri.
Kuna makato makato wakati una recharge na kuwithdrwa jamaa ndo wanapata faida uko
No easy money!!View attachment 2376620ingia kalynda uache kuwa chawa mjini Kalynda
Izo ela unazo zitumia kumpa mwanamke wako jarb kuziwekeza apo utanishkuru badaeHao ni wezi tu
Jamaa inaonekana hajui mahesabu vizuri,sasa hiyo 100k ni bora aniletee mimi nitampa 80k.ameweka 100k,katoa 70k unasema jamaa kavuna[emoji28][emoji28][emoji28]
Hujamuelewa. Apo yani aliweka 100k kapata faida ya 70k na hela yake ipo pale pale. Jiunge acha kusema kila kitu ni wizi wakat mwanamke unamhonga pesa nyingi bila kufikiria.Jamaa inaonekana hajui mahesabu vizuri,sasa hiyo 100k ni bora aniletee mimi nitampa 80k.