Kwa akili zangu Leo naamua Kujiunga na kalynda

Kwa akili zangu Leo naamua Kujiunga na kalynda

Nilijiunga baada ya kuona masela wawili wametoa pesa, mmoja alianza na laki 1 baada ya wiki 3 akatoa ishafika 220,000 ila pesa inachelewa kufika ni ndani ya masaa 48 afu wanamakato makubwa wakati wa kutoa.

Mimi nilianza na 20K, kesho nafikisha 40K.
Ni kweli mkuu wana makato sana hawa jamaa ila pesa inaonekana
 
Huna akili wew na uwez kuwa nayo HV unajiwa unajiunga kylnda Kisha unatumia bando lako kutangaza bidhaa zao kuviwe kila siku gb 1 Sasa hv ni elf tatu sas kila siku uwe online kupewa matangazo na usipotangaza wanakukata lini utapata akili

So Bora ukafingue duka la kitimoto

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nilijiunga baada ya kuona masela wawili wametoa pesa, mmoja alianza na laki 1 baada ya wiki 3 akatoa ishafika 220,000 ila pesa inachelewa kufika ni ndani ya masaa 48 afu wanamakato makubwa wakati wa kutoa.

Mimi nilianza na 20K, kesho nafikisha 40K.
wacha bhuaaaana return on investment 220% in jus 21 days, hata Elon Musk atauza share zake kote aje adeposit huko
 
Kinachonishangaza BOT wapo watu wengi wakiingia mkenge ndio wanazinduka pana muda nadhani wapo wanaohusika kwenye hii mipigo maana hizo riba zinazidi riba zote ila wazee wa Tozo wapo kimya..
Kwani hizi Dec type huwa zinaanzishwa na watu fakiri? Ni Viongozi wakubwa Tu àmbao wamezoea kuumiza masikini wa nchi hii.
 
Hakuna pesa rahisi.

Ila nature kitu cha ajabu sana...nyumbu wakivuka mto, akiingia mmoja tu basi lundo watatumbukia hata kama wanaona wengine wakiliwa na mamba.
Yote haya ni ili mamba nao waishi.
Kila la kheri.
951C24F6-3370-401E-AE1E-98AA385A1355.png
ingia kalynda uache kuwa chawa mjini Kalynda
 
Jamaa inaonekana hajui mahesabu vizuri,sasa hiyo 100k ni bora aniletee mimi nitampa 80k.
Hujamuelewa. Apo yani aliweka 100k kapata faida ya 70k na hela yake ipo pale pale. Jiunge acha kusema kila kitu ni wizi wakat mwanamke unamhonga pesa nyingi bila kufikiria.
 
Back
Top Bottom