Ngoja tuonebeki onyango
Hilo halina ubishiTunachoshariwa tupambanae na hawa Vita na El Mereikh ila Ahly tunaweza pigwa nje ndani
Hayo ni maoni yangu,kama ni pumba chukua wape kuku bas tuone kama watakulaWewe Mwenye hii Thread siku nyingine usiandike Pumba kama hizo humu JF, na inaonekana Una Upungufu wa Soka Akilini U.S.A ndomana umeandika matope kama hayo.... Mpira haupo Kama unavyodhani wewe
Watu wasiomwamini Mungu utawajua tu!! Ni aibu kubwa kushiqndwa kumwamini Mungu. Unaposema hata Mungu hawezi kuwasaidia una maana hata Mungu akitaka kuwasaidia hawezi au? Ulishawahi kusikia mpambano wa Daudi na Goliati? Au Wana wa Israel walivyovuka bahari ya Shamu kwa miguu!! Dharau vyote lakini siyo Mungu!! Watu wengine hujiletea laana bila kujua! Anayeshikilia uhai wako unamkejeli kiasi hicho!! Pole!!Kwamza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo.
Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo
Msimbazi tuanze kujipanga mapema tunafanyaje? Kama tunategemea Mungu tunajidanganya kabisa Mungu hajihusishi na mambo ya kijinga( yasiyo ya ufalme)
Wana msimbazi tunafanyaje?
Achana na Soka nenda Ukoleni huko ndo kuna kufaaHayo ni maoni yangu,kama ni pumba chukua wape kuku bas tuone kama watakula
Ila unaongozwa na dua?na kupeana matumaini yasiyokuwepo?Acha ufala mpira hauko hivyooo
hawa wanaitwa utopolo wanasahau Zamalek akiwa bingwa wa afrika alitolewa na SimbaUkoje kivipi we mpuuzi nini !! Si upo kama unavyokuwaga? Senegal anamfunga ufaransa na zidane wao na Cameroon anamfunga Argentina na Maradona wao!
Simba haitopigwa nje ndani na ahly yako.uwe taifa tarehe 23. Ujionee mwenyewe mwarabu wako anavyokaa taifa.Tunachoshariwa tupambanae na hawa Vita na El Mereikh ila Ahly tunaweza pigwa nje ndani
Sawa
Sawa, njoo sasa tuendelee na utabiriSiwez
Al ahly hili kundi ataongoza na mmojawapo kati ya as vita au el mereikh.
Simba haijazoea mpira wa kasi na pressing ambao waarabu ndio wanauweza
Aya leta hiyo supu tunywe alafu na ww uende ukaoge kwenye kidimbwi chenuNi mwendo wa khamsa tu, utelembwe mkanywe supu ya mkia pale kariakoo.
Kakimbia TayariUsije ukaikimbia hii thread yako.