Kwa Al Ahly hii ya Klabu ya World Cup, hata Mungu hawezi kuisaidia Simba SC

Kwa Al Ahly hii ya Klabu ya World Cup, hata Mungu hawezi kuisaidia Simba SC

Wewe Mwenye hii Thread siku nyingine usiandike Pumba kama hizo humu JF, na inaonekana Una Upungufu wa Soka Akilini U.S.A ndomana umeandika matope kama hayo.... Mpira haupo Kama unavyodhani wewe
Hayo ni maoni yangu,kama ni pumba chukua wape kuku bas tuone kama watakula
 
Kwamza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo.

Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo



Msimbazi tuanze kujipanga mapema tunafanyaje? Kama tunategemea Mungu tunajidanganya kabisa Mungu hajihusishi na mambo ya kijinga( yasiyo ya ufalme)

Wana msimbazi tunafanyaje?

Watu wasiomwamini Mungu utawajua tu!! Ni aibu kubwa kushiqndwa kumwamini Mungu. Unaposema hata Mungu hawezi kuwasaidia una maana hata Mungu akitaka kuwasaidia hawezi au? Ulishawahi kusikia mpambano wa Daudi na Goliati? Au Wana wa Israel walivyovuka bahari ya Shamu kwa miguu!! Dharau vyote lakini siyo Mungu!! Watu wengine hujiletea laana bila kujua! Anayeshikilia uhai wako unamkejeli kiasi hicho!! Pole!!
 
Tunachoshariwa tupambanae na hawa Vita na El Mereikh ila Ahly tunaweza pigwa nje ndani
Simba haitopigwa nje ndani na ahly yako.uwe taifa tarehe 23. Ujionee mwenyewe mwarabu wako anavyokaa taifa.
 
Back
Top Bottom