Kwa Al Ahly hii ya Klabu ya World Cup, hata Mungu hawezi kuisaidia Simba SC

Hoja sio kufungwa hoja ni mpira unatoa riziki halali ambayo mtu anaweza kumwomba Mungu na akapewa au mpira ni haramu.
Sasa hapo unanipangia cha kuhoji
 
Al ahly hili kundi ataongoza na mmojawapo kati ya as vita au el mereikh.

Simba haijazoea mpira wa kasi na pressing ambao waarabu ndio wanauweza
As vita ni waarabu? Au El mereikh ni waarab. Maana ulivyoongea wala hujajiskiliza
 
Wewe Mwenye hii Thread siku nyingine usiandike Pumba kama hizo humu JF, na inaonekana Una Upungufu wa Soka Akilini U.S.A ndomana umeandika matope kama hayo.... Mpira haupo ivo
Kuna watu awajui soka lina matokeo matatu,kiasi mtu anaandika aweki hata akiba ya maneno.
Hata wachambuzi uchwara wa soka la Tanzania wengi awajui uchambuzi wa soka.
Kwenye soka lolote linatokea.dro,kufungwa ama kushinda.
 
Kwenye mpira usikalili hivyo
 
Kuna watu awajui soka lina matokeo matatu,kiasi mtu anaandika aweki hata akiba ya maneno.
Hata wachambuzi uchwara wa soka la Tanzania wengi awajui uchambuzi wa soka.
Kwenye soka lolote linatokea.dro,kufungwa ama kushinda.
Hizi ndo point za kisoka sio kama muanzisha huu uzi yani kwenye mpira bado sana huyo jamaa... Au ndo ushabiki Maandazi unamsumbua huyo
 
Verified members hua mnaongeaga pumba. Sijui Kwa nini yaani
Kama unaona ni pumba kachukue uwape kuku na vifaranga wake wale

Nazungumzia Al Ahly wanacheza mpira wa kasi, pressing na kufunguka we ukadhani nawacompare na AS VITA au Al Mereikh.. mnaanza kusema As vita ni wa waarabu [emoji23][emoji23].. Levels zinatofautiana kiukweli[emoji119]
 
Haha bhana. Your level is way beyond our thinking capabilities. Anzisha forum yako na wenzako.
Revisit your previous post I quoted initially utaona ulivokua unajaribu kuwatisha Simba Kwa waarabu koko wakati ktk group mwarab Koko ni mmoja Tu
 
Unaona akili zako sasa, unahama hoja unakuja personally, sina uwezo wa kuanzisha forum yangu aisee[emoji119][emoji119]

Hoja hapa ni Simba kuwatoa hao unaowaita Waarabu koko, muda utasema kwa maana Level za Al Ahly na Simba sio za kuzicompare kabisa... Mpira wanaocheza sio wa level za Simba

Ukisema AS Vita mliowabahatisha sawa, bado hatujaona soka la Al Mereikh...

Tuwe na akiba ya maneno [emoji119]

Levels matter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…