Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As vita ni waarabu? Au El mereikh ni waarab. Maana ulivyoongea wala hujajiskilizaAl ahly hili kundi ataongoza na mmojawapo kati ya as vita au el mereikh.
Simba haijazoea mpira wa kasi na pressing ambao waarabu ndio wanauweza
Endelea kukurupuka tu, Mada imezungumzia Al Ahly, kuna exclusion hapo soma vizuriAs vita ni waarabu? Au El mereikh ni waarab. Maana ulivyoongea wala hujajiskiliza
Wewe naona lugha gongana tuSasa hapo unanipangia cha kuhoji
Kuna watu awajui soka lina matokeo matatu,kiasi mtu anaandika aweki hata akiba ya maneno.Wewe Mwenye hii Thread siku nyingine usiandike Pumba kama hizo humu JF, na inaonekana Una Upungufu wa Soka Akilini U.S.A ndomana umeandika matope kama hayo.... Mpira haupo ivo
Unajisikia vibaya kwa sasa....mpaka siku ukichomoa mwiko ndiyo utaweza fikiri vizuri.Al ahly hili kundi ataongoza na mmojawapo kati ya as vita au el mereikh.
Simba haijazoea mpira wa kasi na pressing ambao waarabu ndio wanauweza
Kwenye mpira usikalili hivyoKwamza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo.
Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo
Msimbazi tuanze kujipanga mapema tunafanyaje? Kama tunategemea Mungu tunajidanganya kabisa Mungu hajihusishi na mambo ya kijinga( yasiyo ya ufalme)
Wana msimbazi tunafanyaje?
Verified members hua mnaongeaga pumba. Sijui Kwa nini yaaniEndelea kukurupuka tu, Mada imezungumzia Al Ahly, kuna exclusion hapo soma vizuri
wote wako Ivo ndi shida sasaVerified ni malaika Ni binadamu?
Hizi ndo point za kisoka sio kama muanzisha huu uzi yani kwenye mpira bado sana huyo jamaa... Au ndo ushabiki Maandazi unamsumbua huyoKuna watu awajui soka lina matokeo matatu,kiasi mtu anaandika aweki hata akiba ya maneno.
Hata wachambuzi uchwara wa soka la Tanzania wengi awajui uchambuzi wa soka.
Kwenye soka lolote linatokea.dro,kufungwa ama kushinda.
Kama unaona ni pumba kachukue uwape kuku na vifaranga wake waleVerified members hua mnaongeaga pumba. Sijui Kwa nini yaani
Ile ramani yao ya afrika na vijora imewapa tabia ya umalaya kazi kubadilisha mabwanaTushapiga Vita Sasa Utopolo mmehamisha ushabiki kwa Al-Ahly
Muda utasema tupo hapaUnajisikia vibaya kwa sasa....mpaka siku ukichomoa mwiko ndiyo utaweza fikiri vizuri.
Siku zote time will tell... Tuacheni ROHO MBAYA.Muda utasema tupo hapa
Haha bhana. Your level is way beyond our thinking capabilities. Anzisha forum yako na wenzako.Kama unaona ni pumba kachukue uwape kuku na vifaranga wake wale
Nazungumzia Al Ahly wanacheza mpira wa kasi, pressing na kufunguka we ukadhani nawacompare na AS VITA au Al Mereikh.. mnaanza kusema As vita ni wa waarabu [emoji23][emoji23].. Levels zinatofautiana kiukweli[emoji119]
Unaona akili zako sasa, unahama hoja unakuja personally, sina uwezo wa kuanzisha forum yangu aisee[emoji119][emoji119]Haha bhana. Your level is way beyond our thinking capabilities. Anzisha forum yako na wenzako.
Revisit your previous post I quoted initially utaona ulivokua unajaribu kuwatisha Simba Kwa waarabu koko wakati ktk group mwarab Koko ni mmoja Tu