Kwa alichokizungumza Rais Samia Chadema wanahaki ya kusema NRNE

Kwa alichokizungumza Rais Samia Chadema wanahaki ya kusema NRNE

888I

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
472
Reaction score
581
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya uapisho wa viongozi wapya leo, amemuelekeza Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, kuhakikisha anailinda heshima ya Mheshimiwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ambaye anatoka mkoani humo.Aidha, Rais Samia amemtaka RC huyo kuhakikisha amani na mshikamano vinaendelea kudumishwa mkoani Mbeya, akisisitiza kuwa viongozi wa mikoa wanapaswa kuwa sehemu ya majawabu, si chanzo cha migogoro.


Chanzo: EATV
 
Back
Top Bottom