Kwa alichopost Stamina anajiona katoboa, anatudharau

Kwa alichopost Stamina anajiona katoboa, anatudharau

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Huyuu👇👇
Screenshot_20240327-182643_1.jpg

Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa.
Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha.

Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
 
Kwanza unaweza kuichukulia kama utani.
Pili unaweza kuichukulia kama challenge.

Kwa elimu yetu ya kibongo ukitaka kutajirika umiliki chuma kali kama hio ni lazima uwaze nje ya box.

Hizo elimu zako za mofimu na nahau ziweke pembeni upambane ki mtaa mtaa ndio utamiliki hizo chuma
 
Huyuu👇👇View attachment 2946142
Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa.
Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha.

Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
tunalima nae pande hizi, ana bonge la shamba 🐒

anafahamu fika aina za mofimo peke yake haziwezi kumpatia mtu hiyo kitu matata sana, ni lazma ujiongeze ktk shughuli nyingine za utafutaji na uzalishaji 🐒
 
Kama upo 🐒 kwenye harakati. Big up
 
Sema kwa komenti za wadau hapa...
Trump was right .. Africans are stupid minds . Na hakika recolonization ije.

😏😏😏
 
Sema kwa komenti za wadau hapa...
Trump was right .. Africans are stupid minds . Na hakika recolonization ije.
Sawa, wewe kama wewe jibu hilo swali juu hapo..
Ni kweli aina za mofimu zinaweza kukupa kitu kama hicho...?
Kwani aina za mofimu ..wewe zinakupeleka kuwaza nini!!!?
 
Back
Top Bottom