Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mofimu ni kipashio kidogo kuliko vyote katika lugha chenye maana ya kisarufi .Mofimu ndio nini?
Mofimu katika sarufi ni jina la sehemu ndogo kabisa yenye kuwakilisha maana katika neno.
Kipashio hiki hakiwezi kuvunjwavunjwa zaidi bila kupoteza maana.
Mfano:
"Analima" - A-na-lim-a
A-kiambishi awali
na-kiambishi cha wakati
Lim- mzizi wa neno
a- kiambishi tamati