Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hata Nikk wa pili alikuwa anabeza hadi anawatungi nyimbo, kiko wapi sasa?Stamina na Mpwayungu Village wameanza kushirikiana kuwabeza watumishi πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Nikk wa pili alikuwa anabeza hadi anawatungi nyimbo, kiko wapi sasa?Stamina na Mpwayungu Village wameanza kushirikiana kuwabeza watumishi πππππ
ππππ Job true trueπππππππππ Dah hii Dunia hii
Bado unakumbuka ety eeeeh...Kiima na kiarifu, viambishi vya a unganifuπππ
Hayo sio ya kukumbuka ni lugha tunayozaliwa tunaikuta, ni sehemu ya lugha za kwanza kuzijua ambazo hatuitaji kufundishwa shuleni. Sasa nashangaa eti Kuna mwalimu wa kufundishia shamirisho, anaacha kujifunza ma organic chemistry huko ili ,au ma nuclear physics ili watu wapate upepo wa kugundua technolojia mpyaBado unakumbuka ety eeeeh...
πππππ
ππππππ Nchi ngumu sana hii..Hayo sio ya kukumbuka ni lugha tunayozaliwa tunaikuta, ni sehemu ya lugha za kwanza kuzijua ambazo hatuitaji kufundishwa shuleni. Sasa nashangaa eti Kuna mwalimu wa kufundishia shamirisho, anaacha kujifunza ma organic chemistry huko ili ,au ma nuclear physics ili watu wapate upepo wa kugundua technolojia mpya
πππSasa teacher gani hujui hata integral equation? au Bernoulli's principle,? Kama unajiita mwalimu wa kiswahili unafundisha kitu gani wakati Kila mtu anakijua?
SawaNi kweli mofimu haiwezi kukupa hicho chuma
Anamaanisha Walimu mkuu..
Fasihi ni ukoko...kwangua!πππ
Shida niniHuyuuππView attachment 2946142
Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa.
Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha.
Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
Ni mfupi wafupi wanaume kazi kuishi nao .HuyuuππView attachment 2946142
Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa.
Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha.
Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
Kuna watu zinawapaSawa, wewe kama wewe jibu hilo swali juu hapo..
Ni kweli aina za mofimu zinaweza kukupa kitu kama hicho...?
How...Kuna watu zinawapa
Mofimu ndio nini?Sawa, wewe kama wewe jibu hilo swali juu hapo..
Ni kweli aina za mofimu zinaweza kukupa kitu kama hicho...?