Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mofimu ni kipashio kidogo kuliko vyote katika lugha chenye maana ya kisarufi .Mofimu ndio nini?
Tuongee na Lukosi
Aina za mofimu daaaah utaskia sentensi changamano!!!Sawa, wewe kama wewe jibu hilo swali juu hapo..
Ni kweli aina za mofimu zinaweza kukupa kitu kama hicho...?
Ambatano.Aina za mofimu daaaah utaskia sentensi changamano!!!
Ni uwezo wa mtu kubadilisha aina za mofimu kuwa pesaSawa, wewe kama wewe jibu hilo swali juu hapo..
Ni kweli aina za mofimu zinaweza kukupa kitu kama hicho...?
Kama lilivo jina lako...πππNi uwezo wa mtu kubadilisha aina za mofimu kuwa pesa
Japani ni jina la kawaida kabisa, jina lako linaonyesha tatizo ni kubwa.Kama lilivo jina lako...πππ
Acha makasiriko, onyesha gari litokanalo na aina za mofimoππHuyuuππView attachment 2946142
Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa.
Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha.
Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
Lako halina tatizo mkuu..Japani ni jina la kawaida kabisa, jina lako linaonyesha tatizo ni kubwa.
Kabisa