Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Naunga mkono hoja
 
mchungaji kavaa kikuku!!
 
Kwanini utange tange kuhama makanisa tafuta sehemu ambayo unasikia amani kutoka ndani ya moyo ndio ukae hapo umuabudu Mungu vinginevyo utahama makanisa mpaka uimalize Dunia yote ndugu yangu
 
Lipia tangazo
 
Aahh.. Kmmke walai, nchi hii wajinga wengi saana. Nikiangalia wapumbavu wengi kwenye sekta hii ya manabii, napata picha ya kwanini tanzania haiendelei, kwanini wanasiasa wanafanya utumbo na hawawazi.

Mtaji wa wanasiasa(watawala) ni ujinga wa watawaliwa.
 
Baada ya kuchakatwa na kila aliyemuhitaji n kuzeeka sasa anamrejea muumba wake? Hivi yale matatoo mle kifuani atayafutaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…