granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
hv madame conn ya mchungaji uliionaga au uliishia kusikia kama mm?Irene kanivutia na mimi kufungua kanisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hv madame conn ya mchungaji uliionaga au uliishia kusikia kama mm?Irene kanivutia na mimi kufungua kanisa
Niliziona zote mbilihv madame conn ya mchungaji uliionaga au uliishia kusikia kama mm?
Naunga mkono hojaKufungua kanisa Uwoya sio kitu kibaya labda ni kweli Mungu amemuita
Lakini inabidi akubali kubadili matendo kuanzia maneno mpaka mavazi
Mchungaji ana vikuku mguuni waumini wataelewa neno wakati akili yote itakua inamuwaza
Amevaa koti hilo bra ya ndani inaonekana Seriously? Mimi kama kondoo nitakua nawaza nanyonya kifua cha mchungaji
Abadilike..!
zilikuwa real kwel? maana wengine walisema ni editsNiliziona zote mbili
Ukifungua nipe cheo cha wale wanaokusanya sadaka🤣😁😁😁Irene kanivutia na mimi kufungua kanisa
Itabidi tukae tupange waumini tutaanza na hawa wa jf muhimu sadaka zitolewe🤸Ukifungua nipe cheo cha wale wanaokusanya sadaka🤣😁😁😁
Naunga mkono hojaItabidi tukae tupange waumini tutaanza na hawa wa jf muhimu sadaka zitolewe🤸
mchungaji kavaa kikuku!!Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Kwanini utange tange kuhama makanisa tafuta sehemu ambayo unasikia amani kutoka ndani ya moyo ndio ukae hapo umuabudu Mungu vinginevyo utahama makanisa mpaka uimalize Dunia yote ndugu yanguHabari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Lipia tangazoHabari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Napata hisia kwa mchungaji Irene nitapata amani wacha nitulie hapa mkuu.Kwanini utange tange kuhama makanisa tafuta sehemu ambayo unasikia amani kutoka ndani ya moyo ndio ukae hapo umuabudu Mungu vinginevyo utahama makanisa mpaka uimalize Dunia yote ndugu yangu
Tangazo ganiLipia tangazo
Unafuata neno au kikuku?mchungaji kavaa kikuku!!
kuna mganga au mchawi mmoja yupo huko senegal,,nimesahau jina lake,huwa anagawa utajiri na kuwapa wa2 nguvu za miujiza,,,uchawi wake unaitwa VODOO!!! unaambiwa ni uchawi hatari sana,,,unaweza kufufua ata m2!!Lipia tangazo
Baada ya kuchakatwa na kila aliyemuhitaji n kuzeeka sasa anamrejea muumba wake? Hivi yale matatoo mle kifuani atayafutaje?Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.