Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Naona Chawa wake upo kazini
 
Unamuingilia katika haki yake ya kikatiba na kibinadamu ya kuabudu anavyotaka.

Hizo habari za vikuku na nguo ni very shallow.
 
Nimeenda kwenye page yake,ana page mbili tofauti.ana yake na Kuna pge ya kanisa.
Ila huku kwenye page yake naona anaishi kama Irene jwoya.ila kule kwenye page ya kanisa anaishi kama kiongozi wa kanisa.naomba nimshauri kitu.achekeche matendo yake,aondoe Yale yasiyompa utukufu Mwenyezi Mungu.kisha abakishe yake yanayompa utukufu Mungu.

Ikiwezekana afute picha zake zote za nyuma ikiwemo anajiweka uchi.abadili mfumo wake wa mavazi avae Kwa stara kama mwanamke mtu mzima na mtumishi wa Mungu.

Aangalie kampani yake na maeneo anayotaka kwenda,kama anafanya matangazo pia aangalie kama yanampa utkufu Mungu..
Ukianza mwanzo mpya badili baadhi ya vitu vya kale.

Neno la Mungu linasema chochote ama lolote mtalolifanya lifanyeni Kwa utukufu wa Mungu.

Kula,kuimba,kucheza,kuongea,starehe zako,maeneo unayoenda,mavazi yako nk.
Je Mungu anatukuzwa kupitia hayo?
Ni ushauri wangu
 
Nafikiri Biblia inataja vikuku pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…