Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Mungu ana maajabu yake, anaweza kutumia mtu wa ajabu kwenye huduma yake aokoe watu.
 
Kinywaji gani una tumia mkuu Agiza tu chap
Sema Mchungaji anashawishi sana HQ iko wapi nilimkosa kipindi cha sanaa huyu🤣🤣
 
It will end in tears
 
Hivi kwanin Ukristo ndo una mianya mingi ya kupenyeza upuuzi na wapuuzi kuliko imani nyingine?!!
Hii Biblia inajitwist kias kwamba ukitulia Agano Jipya na Kale ukute waweza pata uhalali wa ushoga au wizi!!
Uislam naupongeza kutoacha mianya mingi ya upuuzi na wapuuzi!
Dalili ni mbelen uislam kuwa dini ya wote!
Na hivi ndo wanaongoza kuzaliana!
 
Uwoya naye amekuwa mchungaji ?
 
Kwa hiyo anaitwa mchungaji uwoya au nabii irene? Mwenye clip ya mrembo huyo akihubiri injili aiweke tuone
 
Ya kikatiba na kibinadamu.

Kama vipi hupendi anavyofanya na wewe unaruhusiwa kuanzisha kanisa lako uliendeshe unavyotaka mshindane kuvutia waumini.
Mimi Muislam.hatuna hayo mambo.msikiti ni nyumba ya mungu hata kama umejjenga wewe.sio wako sio chako
 
Mimi Muislam.hatuna hayo mambo.msikiti ni nyumba ya mungu hata kama umejjenga wewe.sio wako sio chako
Hata Waislamu wanaruhusiwa kutoka kwenye Uislamu na kuanzisha makanisa, kwa hiyo hiyo point ya "Mimi Muislamu" haiondoi point yangu kwamba hata wewe unaweza kuanzisha kanisa.

Na kama hutaki kutoka kwenye Uislamu uanzishe kanisa, basi waache hao Wakristo waliojipangia mfumo wao waishi kwa raha zao kwenye mfumo wao.

Kwani wamekulazimisha kwenda kwenye hilo kanisa?
 
Ifike hatua serikali iweke sheria za ku regulate ufunguzi wa haya makanisa na huduma za kiroho.

Sema mchungaji Uwoya ni mali bhana, mafaza wataenda sana kusali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…