Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Maandiko yanasema nyakati za mwisho kutakuwa na manabii wauongo, sasa hapa mbona kuwajua inakuwa tabu,,,
Hakuna tabu yoyote ndugu imenenwa tutawatambua kwa matunda yao. Mchongoma hauzai tini shika sana ulichonacho mwovu asikunyang'anye
 
Hawa mbwa ndio wanafanya dini yetu ya kikristo inadharauliwa .Haiwezekani kila mpuuzi anafungua kanisa ifike hatua serikali waweke sheria kali na bei kubwa za kufungua kanisa.

Sasa tunapoendea kila msanii atafungua kanisa.Ukweli nikwamba hapo kinachotafutwa ni sadaka tu.
Eti na watu wanaenda kusali kwa hizi takataka.Kwanza zimesomea wapi theorojia. Yani kila mpuuzi anakurupuka kufungua kanisa.
 
Ifike hatua serikali iweke sheria za ku regulate ufunguzi wa haya makanisa na huduma za kiroho.

Sema mchungaji Uwoya ni mali bhana, mafaza wataenda sana kusali
sio lazima waende kanisani, ukimtaka unampata, ukifika dau.
 
Sahihi kabisa
 
naona mchungaji anachungwa
 
hawafundishi neno mkuu kule ni kafungu kamoja tu kanasomwa kisha ni ngoma na mzuka mwingi
 
Dini haitetewi au Mungu hatetewi ,Mungu mwenyewe ana uwezo wa kujipigania ...we fanya yako sepa ila usitake watu wamtetee Mungu ambaye ana nguvu ....kuitetea tu katiba Hamuwezi ndo mje mumtetee Mungu
 
Hawa wanawake wangekomaa na shule wangefika mbali sana. Just imagine mtoto kama huyu enzi zile za ubora wake kamaliza chuo anatafuta kazi ni fasta. Niliomaliza chuo ambao ni wazuri wote wana kazi za maana. After 7 years almost all of them are managers and executives.
 
mind kuwa huyu binti ni miss Tanzania wa mwaka fulani japo hakuwa namba moja
 
Mchungaji Mwanamke hajaruhusiwa Kanisani.

Mchungaji amevaa vikuku mguuni kweli😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…