granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
hili nalo litizamwe, mm najua uchungaji unasomewa, upadri pia, labda angejiita nabii, kuhani, hapo sawa.Huo uchungaji kausomea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili nalo litizamwe, mm najua uchungaji unasomewa, upadri pia, labda angejiita nabii, kuhani, hapo sawa.Huo uchungaji kausomea wapi?
Hakuna tabu yoyote ndugu imenenwa tutawatambua kwa matunda yao. Mchongoma hauzai tini shika sana ulichonacho mwovu asikunyang'anyeMaandiko yanasema nyakati za mwisho kutakuwa na manabii wauongo, sasa hapa mbona kuwajua inakuwa tabu,,,
Angeanzisha msikiti wa Uwoya ungebomolewa ukiwa msingi tuUislam hauchezewi hapo ndipo nnapo wakubaligi
Kumbe uwoya kawa nabii mchungaji naye 😄
Ova
Ukiona hivyo ujue wameona kuna fursa, maaan haiingii akiliniSasa manabii na wachungaji ni wengi kuliko kondoo.
sio lazima waende kanisani, ukimtaka unampata, ukifika dau.Ifike hatua serikali iweke sheria za ku regulate ufunguzi wa haya makanisa na huduma za kiroho.
Sema mchungaji Uwoya ni mali bhana, mafaza wataenda sana kusali
Sahihi kabisaKufungua kanisa Uwoya sio kitu kibaya labda ni kweli Mungu amemuita
Lakini inabidi akubali kubadili matendo kuanzia maneno mpaka mavazi
Mchungaji ana vikuku mguuni waumini wataelewa neno wakati akili yote itakua inamuwaza
Amevaa koti hilo bra ya ndani inaonekana Seriously? Mimi kama kondoo nitakua nawaza nanyonya kifua cha mchungaji
Abadilike..!
Na watatokea manabii wengi wa uongo ambao watawapotosha watu.Matayo 24:11-24Unataka utumwe wewe mkuu?
naona mchungaji anachungwaHabari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
hawafundishi neno mkuu kule ni kafungu kamoja tu kanasomwa kisha ni ngoma na mzuka mwingiNataka nifanye ziara ya kutembelea makanisa ya wasanii wote, nitaanza kwa masanja, madame christina, madame flora, mc pilipili, irene uwoya nione laivu wanasifu na kuabudu vipi, wanafundishaje neno la Mungu na waumini wao wamevaaje? Tunaweza kuwahukumu mapema ni wabovu kumbe ni vyombo safi vya Mungu. Mungu ameinua mawe yamsifu kama wateule wake hawafanyi hivyo
Dini haitetewi au Mungu hatetewi ,Mungu mwenyewe ana uwezo wa kujipigania ...we fanya yako sepa ila usitake watu wamtetee Mungu ambaye ana nguvu ....kuitetea tu katiba Hamuwezi ndo mje mumtetee MunguMimi sina cha kuongea ila hawa wanafanya sasa niamini ukiristo zama hizi ni dini ya kitapeli wakiristo wanatakiwa wasimame waiteteee kwa nguvu dini yao mungu wetu ana dhihakiwa sana mungu wetu mpk wasagaji wanaojiuza wanajiita manabii nyakati hizi tutaona mengi duniani mpka tufe kazi ipo
Hawa wanawake wangekomaa na shule wangefika mbali sana. Just imagine mtoto kama huyu enzi zile za ubora wake kamaliza chuo anatafuta kazi ni fasta. Niliomaliza chuo ambao ni wazuri wote wana kazi za maana. After 7 years almost all of them are managers and executives.Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
vipi praise team wao wanavaaje?hawafundishi neno mkuu kule ni kafungu kamoja tu kanasomwa kisha ni ngoma na mzuka mwingi
mind kuwa huyu binti ni miss Tanzania wa mwaka fulani japo hakuwa namba mojaHawa wanawake wangekomaa na shule wangefika mbali sana. Just imagine mtoto kama huyu enzi zile za ubora wake kamaliza chuo anatafuta kazi ni fasta. Niliomaliza chuo ambao ni wazuri wote wana kazi za maana. After 7 years almost all of them are managers and executives.
Mchungaji Mwanamke hajaruhusiwa Kanisani.lakini hiyo inaonyesha namna watu watakavyopata hukumu siku ya mwisho,manake hadi kina huyo dada wametangaza injili,ambaye hajaisikia basi atakuwa na shingo ngumu. wawe wasafi wasiwe wasafi ila wametangaza walau. hakuna atakayekuwa na la kujitetea kwamba hakusikia wito wa wokovu.