Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
Rose unapiga sana Kiswanglish, hivi wewe ticha wa masomo gani? Wife wangu anafundisha Biology na Home Economics. Anakaangiza huyo, wee acha tu.
uyo lazima atakuwa amevuka utoto n she above form six..kaenda unvsty...n anafundsha by choice if m nt mistaken ..so hatakua na shda ..mi nawazungumzia walimu wetu awa wa sasa wa form four kapata 4 anaenda crushng prgm then anaingia darasan kufundsha...apo ndo pbm inalala(weng wao)