Kwa ambao hawajaoa, walimu ni wake wazuri...

Kwa ambao hawajaoa, walimu ni wake wazuri...

I have done it. I love my wife, Teacher AR.

naona huyu jamaa kafuata ushauri wako (Good work)
kirukee kikore
user-offline.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Did you find this post helpful? |
icon14.png
Anatakiwa mchumba

I am a man of below 30 yrs
natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27
mcha Mungu(mi ni mkristu), mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake.
PM me please for further contact

I prese​
 
walimu awa wanaobaka wanafunzi?
walimu awa waliofanya ualimu km oltenatv job?
awa waliofel ndo wakaenda ualimu?
KM UKIZUNGUMZIA WALIMU WWA ZAMAN APO SAWA NAKUBALI..CZ WALIKUWA NA MAADILI YAO ..lakin si leo ambapo mtu kauza bar miaka kadhaa kachoka zake ndo anaenda ualimu do u thk atakuwa na contet za ualimu ili AWE MKE BORA?
KWA SASA NOOOOOOOOOOOOOO walimu wa zaman YEEEEEEEEES
nawasilisha.

Mweeee!!!!, Rose wacha Ukali, Huyu bwana kasema walimu wa Kike kama si kukuosea, unless wao pia wabakaji!!!!!!!
 
naona huyu jamaa kafuata ushauri wako (Good work)
kirukee kikore
user-offline.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Did you find this post helpful? |
icon14.png
Anatakiwa mchumba

I am a man of below 30 yrs
natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27
mcha Mungu(mi ni mkristu), mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake.
PM me please for further contact

I prese​

HERI ya NEW Year MUM!
 
msidanganyike ndugu zangu kuna walimu vicheche wa kufa mtu, mimi nafikiri suala la muhimu ni kupendana na kuwa waaminifu hata awe jaji au mhasibu
 
naona huyu jamaa kafuata ushauri wako (Good work)
kirukee kikore
user-offline.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Did you find this post helpful? |
icon14.png
Anatakiwa mchumba

I am a man of below 30 yrs
natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27
mcha Mungu(mi ni mkristu), mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake.
PM me please for further contact

I prese​

Huyu kachagua fungu jema. Teache wazuri asikwambie mtu.
 
wanaume wa humu embu mjiamini...ukiwa na inferiority complex ndio utahangaika kutafuta mwanamke aliye chini ya kipato/proffesion ili ujihisi na 'sense of control'.....huyo mkeo kashaija ni muadilifu/mwema but her proffesion has nothing to do with it!!!!!!!:teeth:..
kuna walimu tofauti pia,usitake kuniambia shule ulizosoma walimu wote walikuwa wema,wengine ni makatili sana kwa watoto shuleni mpaka unajuaa kabisaa hawa hata nyumbani wanapoishi ni kimbembe.
 
Mtoa mada ameeleza vizuri kuwa sio walimu wote bali wengi wanafaa kuwa wake bora. akaongeza kuwa hamaanishi kwamba wanawake wa fani zingine pia sio wote ni wabaya. akahitimisha kwamba anomba xperince toka kwenu. Kwangu mimi nakubaliana naye kwa sababu niliaminishwa hivo tangu utotoni na nikabahatika kuoa Mwalimu i.e a teacher. Amefanya vizuri masomo yake level zote including university na kwa sasa ana position nzuri lakini sijawahi hisi kuwa nilikosea. Labda tuseme ni mmoja katika 10 au 100? Sijui but naamini sikukosea. Kuhusu kubadilisha kozi my wife alichaguliwa sheria UD na IUCO akahamia Education. Mimi pia ilibaki kidogo nihame kutoka PSPA pale mlimani kwenda Educ. So sio kweli kwamba ni last alternative. But being a christian nakubaliana na wengi kwamba mke mwema atoka kwa Bwana

Ahsante sana. Umefafanua vizuri na hongera kwa kuoa teacher. Wako watu wengi walioacha fani nyingine na kuwa waalimu. Nasikitika Preta anasema kuwa ualimu ni last resort kwa watu walioshindwa maisha. Kwa mfano, mke wangu ana div 2 O-level na A-level, hivyo alikuwa na uwezo wa kusoma fani nyingine.
 
wanaume wa humu embu mjiamini...ukiwa na inferiority complex ndio utahangaika kutafuta mwanamke aliye chini ya kipato/proffesion ili ujihisi na 'sense of control'.....huyo mkeo kashaija ni muadilifu/mwema but her proffesion has nothing to do with it!!!!!!!:teeth:..
kuna walimu tofauti pia,usitake kuniambia shule ulizosoma walimu wote walikuwa wema,wengine ni makatili sana kwa watoto shuleni mpaka unajuaa kabisaa hawa hata nyumbani wanapoishi ni kimbembe.

Sijasema walimu wote ni wanandoa wazuri. You have quoted me wrong! Mbona hata wewe unaonekana kuwa mwanandoa mzuri hata kama sio teacher? I love you, lakini ndo basi tena niko na teacher wangu.
 
Ahsante sana. Umefafanua vizuri na hongera kwa kuoa teacher. Wako watu wengi walioacha fani nyingine na kuwa waalimu. Nasikitika Preta anasema kuwa ualimu ni last resort kwa watu walioshindwa maisha. Kwa mfano, mke wangu ana div 2 O-level na A-level, hivyo alikuwa na uwezo wa kusoma fani nyingine.
Nimekusoma pia mkuu. tuko pamoja, ungechelewa kidogo hii topiki ningeileta mimi. big up
 
ndugu wana jf ambao mnatafuta wachumba wa kuoa, nawashauri muoe wanawake wenye taaluma ya ualimu. Kina mama walimu, wengi wao, ni watulivu na ni walezi wazuri wa familia. Wanavaa mavazi ya heshima na ni wavumilivu sana katika ndoa.

Hata hivyo, sisemi kuwa wanawake wa taaluma nyingine hawafai kuoa; la hasha. Vivyo hivyo, si kila mwalimu wa kike anakuwa mwanandoa mzuri, ila nasema wengi wao taaluma yao huwapa maadili yanayowafanya wawe wake wazuri.

Kama kuna mwanamke mwalimu asiye na sifa nilizozitoa naomba atoe ushuhuda wake. Mliooa walimu kama mimi mnasemaje? I love my wife (teacher).

Kina mama mliolewa na walimu, je nao ni baba wazuri?
uhusiano wa tabia ya mwanamke na kazi ya anayofanya ni mdogo sana(ukiondoa kazi ya uhudumu wa baa).hivyo kazi si kigezo kizuri cha kumpata mke mzuri.
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu. Je utampataje? Maana najua hadondoki kwa mana.
Kuweka maoni ya ujumla kwa fani ni ngumu sana.
Mwangalie mtu mwenyewe, familia aliyotoka na hofu yake kwa Mungu.
 
acha tu kakangu
yan nataman nianze lekcha kuwaelezea wanielewe km ulivyonielewa..SIPING SKATAI FANI YA UALIMU KWAMBA INASABABISHA ITOE WAMAM WAZURI...BT IZI PGRAM ZASASA IVI VODA FASTA ,MIEZ MIWIL MTU KAWA MWALIMU ,MTU KAFEL UKO NDO ANAENDA UALIMU JE ATAKUWA ANAZNGATIA MAADILI YA UALIMU ATA AWE MAMA BORA?
WALIMU NI WAZAMAN WA SASA IVI APANA MI NAKATAA JAMAN ATA MTU AKINISHIKIA BACHTOLAA...WENGI WAO SI WOTE HAWANA MAADILI WHCH MAKE THEM TO B IN PROBABILITY OF BEING WIFE MATERIAL LIKE MWANASIASA AU MWANAMKE MWANASHERIA.
BT OL IN OL MKEBORA/MUME BORA TAOKA KWA BWANA.

ndio maana niliamua kuoa housewife...yaani kabla sijaoa niliwatafuna walimu wengi. na walikuwa very simple kupata. hata badhi walikuwa married...baada ya kuona hivyo, nkaona hao sio watu wa kuoa maana they are simple to sneak out of marriage. wanatembea sana na maafisa elimu hasa pale wanapotaka uhamisho na wakiwa na shida mbalimbali zinazohusu kazi zao hata kupandishwa madaraja. na hii ni kwa kuwa hawana hela ya kuhonga basi wanaishia kuwahonga ngono hao maafisa i wa ver disapointed to get married to a teacher.
naungana moja kwa moja na Rose!!! mke wangu alitoka kwa mungu. kwishnei!!!
 
ndugu wana jf ambao mnatafuta wachumba wa kuoa, nawashauri muoe wanawake wenye taaluma ya ualimu. Kina mama walimu, wengi wao, ni watulivu na ni walezi wazuri wa familia. Wanavaa mavazi ya heshima na ni wavumilivu sana katika ndoa.

Hata hivyo, sisemi kuwa wanawake wa taaluma nyingine hawafai kuoa; la hasha. Vivyo hivyo, si kila mwalimu wa kike anakuwa mwanandoa mzuri, ila nasema wengi wao taaluma yao huwapa maadili yanayowafanya wawe wake wazuri.

Kama kuna mwanamke mwalimu asiye na sifa nilizozitoa naomba atoe ushuhuda wake. Mliooa walimu kama mimi mnasemaje? I love my wife (teacher).

Kina mama mliolewa na walimu, je nao ni baba wazuri?

yaani naunga mkono hoja kwa asilimia mia saba !!!
 
Back
Top Bottom