uzuri wa walimu ni kwamba, una uhakika watoto wako watasoma shule, watahamasishwa kuwoma shule...ile kwa habari zingine...lazima watembee na makatibu tarafa na makatibu kata...kwa vijijini, wakuu wa wilaya, na maofisa wa selikali wakitembelea, ilikuwa lazima waalimu wakawapikie na kuwatandikia vitanda..zilipigwa kelele sana kipindi cha nyuma kwasababuw alimu wengi walikuwa wanakwisha kwa ukimwi....hii iko wazi...na maisha yao ni maisha ambayo hayana pesa, waalimu ni watu masikini hivyo ni rahisi sana kudanganyika kama akihongwa pesa...unaweza kufikiri ameondoka na shule ana kipindi kumbe amesain akasingizia mtoto anaumwa akapitiliza kwa hawara....uzuri wake ni kwamba, huwa hawakamatiki kirahisi, kwasababu baba anaamini kuwa, toka asubuhi hadi jioni wako wanacheza na wanafunzi, ila walimu kwa walimu ndio wanajuana kwa vilemba....cha maana, kama uzinzi uko ndani ya mtu, hata ufanye nini, hata uwe na kozi gani, utafanya tu uzinzi, hadi pale utakapoyatoa maisha yako kwa Yesu ili akusaidie kushinda dhambi...kwa kifupi, kwenu nyie wote ambao wanawake wenu hawajaokoka, mnaliwa kila siku bila nyie kujua...ukiona mwanamke wako anaenda kanisani kuokoka, msapoti kwasababu unaokoa mengi...