BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.
Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.
Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.
Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.
Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.
Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.
Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.
Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.
NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.
Said: BANDOKITITA