Kwa anachokifanya Israel huko Syria, nimehitimisha kuwa Bashar al Assad alikuwa mtu sahihi ila wananchi walipatwa tu na mzuka na wivu

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.

Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.

Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.

Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.

Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.

Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.

Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.

Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.

NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.

Said: BANDOKITITA
 
Umewahi muuliza Baba yako the wakati unakua kwa nini Mama yako alikuwa anamtengea mapaja yote ya Kuku na nyie mnakula Shingo? Basi ndo sawa na haya maswali unayouliza, mwenye akili na nguvu hupishwa Kaka
 
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.

Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.

Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.

Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.

Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.

Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.

Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.

Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.

NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.

Said: BANDOKITITA
Mbinu ya MEDANI!
Kawanyofoa Manyoya Russia na Iran na Assad wakashinda kuruka!😇
Sasa zamu ya Lebanon!; Iran itafuata baada ya juntanguliza fifth column kule....
 
Israel atakaa mezani na hao waasi na kuyajenga. Kitakachofuata ni kufutika kwa Hezbolah na kupata tabu sana kwa Iran. Maana atafikaje Lebanon na kuanza magenge yake ya uhalifu??
Pengine ni wakati sasa wa Lebanon kujijenga na kuwa nchi yenye amani na ustawi. Hezbollah ndio kiini cha mdororo wa Lebanon
 
Huyo mvaa kipedo hapo juu hawezi jua hili, maana amekaririshwa tu.
 
Israel atakaa mezani na hao waasi na kuyajenga. Kitakachofuata ni kufutika kwa Hezbolah na kupata tabu sana kwa Iran. Maana atafikaje Lebanon na kuanza magenge yake ya uhalifu??
Pengine ni wakati sasa wa Lebanon kujijenga na kuwa nchi yenye amani na ustawi. Hezbollah ndio kiini cha mdororo wa Lebanon
Wallah wakiondoka Hezbollah leo kesho yake Israeli anaanza kufanya kinachofanywa Syria, Israel na waasi wanaogopa Hezbollah kama ukoma
Hezb hawana tabia kama ya majeshi ya Assad wanapigana kama IRGC Watu wawili wakiambiwa kuhold line hawaondoki, kunatukio wanajeshi walipoteza mawasiliano mpaka wanakuja kupatikana Ceasefire ilishapita
 
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.

Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.

Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.

Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.

Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.

Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.

Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.

Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.

NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.

Said: BANDOKITITA
Wewe ni mtesi na unaungana na watesi.
Huna huruma wala kujali Damu.
Unakunywa damu za wenzio na hujali lolote.
Wakimbizi zaidi ya milioni 5 wapo mpakani wanataka kurudi nchini kwao Syria, wakimbizi mamilioni duniani kote wanataka kurudi kwao baada ya Dikteta kukimbia nchi, wewe una tabia ya damu za watu unaona sawa hawa wakimbizi waishi huko?
 
Mwanzoni Hezbollah walimlinda. Assad. Iran na Russia wakiwatumia wao kama foot soldiers.

Leo hii wako wapi? Wamejikunyata huko Lebanon. Wamesaini peace agreement ili mambo yaishe.

Hamas nao wajiandae. Sijui watapiga wapi vita vyao bila kuwa na sehemu ya uhakika Lebanon?
 
Unajua kua hezb hawakuwepo Syria walikua wamefocus na vita Lebanon? Kwani Israel angekataa hio ceasefire unadhani mpaka sasa si vita vingekuwa bado vinaendelea? Mpaka siku ya mwisho ya ceasefire walifanya oparation 37+ hivyo cease fire sio kwamba ni kujikunyata idf ndio walilia baada ya kuona tel viv inaaungua
 
Hezbollah alimlinda Assad akisaidiana na Iran. Evidence ziko wazi. Iran aliitumia sana Syria kuwasaidia Hezbollah.
Syria mpya ni shida kwa Iran. Atafikaje Lebanon?
Atawasaidiaje Hamas?
 
Wewe ni mtesi na unaungana na watesi.
Huna huruma wala kujali Damu.
Unakunywa damu za wenzio na hujali lolote.
Wakimbizi zaidi ya milioni 5 wapo mpakani wanataka kurudi nchini kwao Syria, wakimbizi mamilioni duniani kote wanataka kurudi kwao baada ya Dikteta kukimbia nchi, wewe una tabia ya damu za watu unaona sawa hawa wakimbizi waishi huko?
Sivyo unavyodhani, hao wakimbizi hawakufukuzwa na Assad bali walondoka wenyewe baada ya vita ya wao kwa wao vilivyoasisiwa na haya magaidi yaliyopindua nchi. Ok ngoja warudi tuone km mwakakesho utaisha bila kurudi uhamishoni. Future is a blind time.
 
Wallah wakiondoka Hezbollah leo kesho yake Israeli anaanza kufanya kinachofanywa Syria, Israel na waasi wanaogopa Hezbollah kama ukoma
Hezb hawana tabia kama ya majeshi ya Assad wanapigana kama IRGC Watu wawili wakiambiwa kuhold line hawaondoki, kunatukio wanajeshi walipoteza mawasiliano mpaka wanakuja kupatikana Ceasefire ilishapita

Acha kumlinganisha HTS na takataka kama Hizbullah
 
Sivyo unavyodhani, hao wakimbizi hawakufukuzwa na Assad bali walondoka wenyewe baada ya vita ya wao kwa wao vilivyoasisiwa na haya magaidi yaliyopindua nchi. Ok ngoja warudi tuone km mwakakesho utaisha bila kurudi uhamishoni. Future is a blind time.

Punguza uongo. Assad alikuwa nuksi Syria ndio maana raia wamesherekea kuondoka kwake.
 
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.

Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.

Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.

Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.

Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.

Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.

Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.

Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.

NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.

Said: BANDOKITITA
Bado hamjasema, mpaka mseme kobazi ni ndala au viatu
 
Acha kumlinganisha HTS na takataka kama Hizbullah
Ubora wa kundi wewe unaupimaje? Je ni wingi wa majeshi? Zana walizonazo? Ushawishi? Battle walizoshinda?
Miundo mbinu na logistics?
Specialist na intelligence? Productions na techy? Utegemezi wa kundi ni % ngapi kwa mlezi? Uwezo wa kuhimili shinikizo? Ndugu fuatilia mambo
Wa sunni nawajua ni jazba na blablah na usaliti vita ya mtu bee hawawezi mashia huo ni ukweli na ndio maana mara zote hizbo alipokua frontline walirudi nyuma hawakuweza kuingia
 
Punguza uongo. Assad alikuwa nuksi Syria ndio maana raia wamesherekea kuondoka kwake.
Binadamu Ha tuna akili, mbona hata Walibya walishangilia kuuwawa kwa shujaa Gadafi kawaulize kwa sasa Walibya wanajuta nchi imegawanywa vipande marekani na washirika wake wanabwia tu wese, wajinga ndio waliwao😀
 
Hezbollah alimlinda Assad akisaidiana na Iran. Evidence ziko wazi. Iran aliitumia sana Syria kuwasaidia Hezbollah.
Syria mpya ni shida kwa Iran. Atafikaje Lebanon?
Atawasaidiaje Hamas?
Mpango uliopo wao waanze kutengeneza kwenye mahandaki yao silaha muhimu kwa hizbo ni ATGM na ballistic na rockets hizo production yake inafanyika tena watazalisha nyingi kwa muda mfupi kuliko kuagiza labda drones ndio itakua kidogo mushkeli japo Iran kasema wana alternative na huo situation hivyo sio tatizo tena
 
Back
Top Bottom