Sio kwasababu ya kutafuta sifa wala kujikweza. wayahudi na US wameshawazidi maarifa. Muda hauna baya. UtaongeaMpango uliopo wao waanze kutengeneza kwenye mahandaki yao silaha muhimu kwa hizbo ni ATGM na ballistic na rockets hizo production yake inafanyika tena watazalisha nyingi kwa muda mfupi kuliko kuagiza labda drones ndio itakua kidogo mushkeli japo Iran kasema wana alternative na huo situation hivyo sio tatizo tena
Nonsensical contributionBado hamjasema, mpaka mseme kobazi ni ndala au viatu
Huna ujualo wewe, so endelea kupenga/kumeka makamasi huju ukiliaKuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.
Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.
Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.
Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.
Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.
Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.
Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.
Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.
NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.
Said: BANDOKITITA
😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂BADO HAMJASEMA
Hivi haujui watu wanaweza kusherehekea na kufurahia ujinga. Wengine hata hawajui kwa nini wanarukaruka kwa furaha.Punguza uongo. Assad alikuwa nuksi Syria ndio maana raia wamesherekea kuondoka kwake.
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.
Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.
Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.
Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.
Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.
Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.
Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.
Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.
NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.
Said: BANDOKITITA
Wewe siyo riziki kwa wazazi wao. Na pengine ulizaliwa kabla baba na mama yako hawajafunga I ndoa.Huna ujualo wewe, so endelea kupenga/kumeka makamasi huju ukilia
Kumbe unapakwa makamssi na wenzio? Nilikuwa sijui hilo, ahsante kwa kutujuza, ndiyo maana ukiona makamasi unslegeza macho. Watu mna siri sansWewe siyo ridhiki kwa wazazi wao. Na pengine ulizaliwa kabla baba na mama yako hawajafunga I ndoa.
Hakuna nchi yenye uhasama na Israel itakayokuwa imara hapo mashariki ya kati.Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.
Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.
Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.
Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.
Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.
Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.
Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.
Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.
NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.
Said: BANDOKITITA
Good contribution with no emotions. Nyie ndo mnatakiwa kuwa jf, kuna wengine humu watoto HARAMU wanatoa matusi hadi wanatufanya na sisi tusiozea matusi kuyaporomosha. Hivi hapo ulivyochangia kistaarabu na kimamantic umrpingukiwa nini. Ebu jaribu kuwaelimisha na hawa watoto HARAMU. Have a good day.Hakuna nchi yenye uhasama na Israel itakayokuwa imara hapo mashariki ya kati.
Nchi zote zinazoizunguka Israel inatakiwa aidha iwe inauhusiano mwema na Israel au iwe dhaifu kiasi ambacho haitakuwa tishio kwa israel.
Hapo Syria hata Kama wataanzisha serikali ya kidemokrasia bado marekani na Israel watafanya wanaloweza kuingiza mgogoro mpaka wachapane na kwa kuwa waarabu ni wabinafsi kuwagombanisha ni rahisi sana
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.
Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.
Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.
Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.
Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.
Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.
Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.
Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.
NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.
Said: BANDOKITITA
Hajui kiswahiliKuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;

Ni mpumbavu pekee ndo anashabikia vita,mtu mwenye akili timamu hawezi shabikia vita kama ushabiki wa Simba na Yanga
sikubaliani nawe kama rais assad alikuwa bora syria ,,,,,,,,,kiongozi yoyote awapo madarakani akawa anafunga watu,anapoteza watu huyo si kiongozi........awape uhuru wa kujieleza wananchi wetuKuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;