Kwa anachokifanya Israel huko Syria, nimehitimisha kuwa Bashar al Assad alikuwa mtu sahihi ila wananchi walipatwa tu na mzuka na wivu

Mpango uliopo wao waanze kutengeneza kwenye mahandaki yao silaha muhimu kwa hizbo ni ATGM na ballistic na rockets hizo production yake inafanyika tena watazalisha nyingi kwa muda mfupi kuliko kuagiza labda drones ndio itakua kidogo mushkeli japo Iran kasema wana alternative na huo situation hivyo sio tatizo tena
Sio kwasababu ya kutafuta sifa wala kujikweza. wayahudi na US wameshawazidi maarifa. Muda hauna baya. Utaongea
 
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.

Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.

Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.

Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.

Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.

Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.

Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.

Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.

NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.

Said: BANDOKITITA
Huna ujualo wewe, so endelea kupenga/kumeka makamasi huju ukilia
 
Anachokifanya Israel ndani ya Syria kinaonyesha kuwa ukiwa mnyonge mbele ya Israel anakuwa anajibondea tu. Kama siyo uwepo wa Hizbollah ndani ya lebanon sasa hivi Israel ingekuwa imeshamega South Lebanon nzima.
 
Punguza uongo. Assad alikuwa nuksi Syria ndio maana raia wamesherekea kuondoka kwake.
Hivi haujui watu wanaweza kusherehekea na kufurahia ujinga. Wengine hata hawajui kwa nini wanarukaruka kwa furaha.

Nikuambie tu hata Tz kuna wapinzani wanapinga mambo mengi ya serikali lakini wamo wasiojua wanapinga nini na kwa nini, bali ni bendera fuata upepo.

Hivyo hivyo, hata wafuasi wa CCM hufuraia kila uchaguzi kushinda kwa kishindo lakini ukiwauliza ni kishindo gani wakati mmeiba kura au kujizolea viti vingi kwa kigezo cha kupita bila kupingwa huku watu wakipotezwa, na kura kuibiwa waziwazi, hawawezi kukupa majibu wao wamekalili tu kuwa ilimradi tumeshinda kwa kishindo haijalishi. So, watu km hawa hufuraia wasichokiruhia na hawajui wanafurahia nini. Fraha ya mtu inatofasili nyingi kwa taswira ya ndani ya moyo na nje. Nadhani umenielewa km bado basi wewe haufundishiki.
 
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.

Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.

Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.

Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.

Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.

Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.

Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.

Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.

NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.

Said: BANDOKITITA

IZRAEL YAENDELEZA UBABE SYRIA/YASHAMBULIA MELI ZA KIVITA NA MAGHALA YA SILAHA.​

View: https://www.youtube.com/watch?v=CjP7Wi9zPOc
 
Wewe siyo ridhiki kwa wazazi wao. Na pengine ulizaliwa kabla baba na mama yako hawajafunga I ndoa.
Kumbe unapakwa makamssi na wenzio? Nilikuwa sijui hilo, ahsante kwa kutujuza, ndiyo maana ukiona makamasi unslegeza macho. Watu mna siri sans
 
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.

Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.

Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.

Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.

Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.

Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.

Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.

Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.

NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.

Said: BANDOKITITA
Hakuna nchi yenye uhasama na Israel itakayokuwa imara hapo mashariki ya kati.

Nchi zote zinazoizunguka Israel inatakiwa aidha iwe inauhusiano mwema na Israel au iwe dhaifu kiasi ambacho haitakuwa tishio kwa israel.

Hapo Syria hata Kama wataanzisha serikali ya kidemokrasia bado marekani na Israel watafanya wanaloweza kuingiza mgogoro mpaka wachapane na kwa kuwa waarabu ni wabinafsi kuwagombanisha ni rahisi sana
 
Good contribution with no emotions. Nyie ndo mnatakiwa kuwa jf, kuna wengine humu watoto HARAMU wanatoa matusi hadi wanatufanya na sisi tusiozea matusi kuyaporomosha. Hivi hapo ulivyochangia kistaarabu na kimamantic umrpingukiwa nini. Ebu jaribu kuwaelimisha na hawa watoto HARAMU. Have a good day.
 
Kwa namna hali ya usalama ilivyo Tata kwa Sasa huko, iwe Israel au warabu endapo mna nguvu zakijeshi za kutosha Ni heri kupambana kufa kupona ili tu kujihakikishia usalama wakutosha. Maana watu wa ukanda huo hawana huruma Wala hawajui kwa kina Ni Nini maana ya amani. Ndicho anachofanya Israel kwa Sasa.
Na hapa kwa jicho la mbali tunaona huu ndio ushindi ambao Israel aliuhitaji.
 
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.

Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.

Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.

Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.

Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.

Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.

Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.

Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.

NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.

Said: BANDOKITITA
Israel inaweza kufurahia kuanguka kwa utawala wa Bashir Assad kwa sababu mbalimbali za kimkakati na kiusalama, zikiwemo:
  1. Kupunguza Ushawishi wa Iran: Utawala wa Assad umekuwa mshirika mkubwa wa Iran katika eneo la Mashariki ya Kati. Kuanguka kwake kunaweza kudhoofisha ushawishi wa Iran nchini Syria, na hivyo kupunguza tishio la moja kwa moja kwa Israel kutoka kwa vikundi vinavyoungwa mkono na Iran kama Hizbollah.​
  2. Kudhoofisha Vikundi vya Uadui: Syria chini ya Assad imekuwa njia kuu ya kupeleka silaha na msaada wa Iran kwa Hizbollah, ambayo ni adui mkubwa wa Israel. Kuanguka kwa Assad kunaweza kuvuruga njia hii.​
  3. Fursa za Kuimarisha Ushawishi wa Kikanda: Kuondoka kwa Assad kunaweza kuipa Israel fursa ya kuimarisha mahusiano na wapinzani wa Assad ndani ya Syria, ikiwa ni pamoja na makundi ya waasi au serikali mpya inayoweza kuwa na msimamo wa wastani.​
  4. Kupunguza Uwezekano wa Vita vya Baadaye: Assad ameendeleza hali ya uhasama na Israel kwa muda mrefu, na utawala mpya unaweza kutoa nafasi ya mazungumzo au angalau kupunguza uhasama kati ya pande hizo mbili.​
  5. Usalama wa Mpaka: Israel imekuwa na wasiwasi mkubwa juu ya uwepo wa vikosi vya Iran na Hizbollah karibu na mpaka wa Golan. Kuondoka kwa Assad kunaweza kusababisha mabadiliko ya hali hiyo, na kuimarisha usalama wa mpaka wa Israel.​
Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba Israel inaweza pia kuwa na wasiwasi kuhusu ombwe la madaraka ambalo linaweza kuzalisha machafuko au kuibuka kwa makundi yenye msimamo mkali zaidi baada ya kuondoka kwa Assad
 
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.

Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.

Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.

Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.

Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.

Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.

Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.

Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.

NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.

Said: BANDOKITITA
Hajui kiswahili
 
Ni mpumbavu pekee ndo anashabikia vita,mtu mwenye akili timamu hawezi shabikia vita kama ushabiki wa Simba na Yanga

Mostly ni wajumapili ndo hua wanasifia Israel mara marekani nakubali wana za kuvuukia tu
 
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.

Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika hapo awali kabla ya kuondoka madarakani kwa BASHAR AL ASSAD.

Tatu, kwa nini wakati Israel inaipiga Syria na kuchukua eneo la Golan, hawa wanamgambo wa mapinduzi hawaku-react kwa namna yoyote ile either kwa maneno or kwa vitendo.

Nne, kwa nini wakati Israel anaishaambulia Syria hatujaskia mataifa ya magharibi na US wakikemea au kuchukua hatua. Je Israel ina kibali cha kuivamia nchi yoyote na kuteka maeneo yake bila kusemwa. Hiki kibri cha Israel kinatoka wapi.

Tano, kwa nini baada ya kuanguka kwa utawala wa BASHAR AL ASSAD ni km Israel imekuwa na fraha isiyomithilika.

Binafsi, ninahitimisha kuwa nchi nyingi Duniani hukubali mapinduzi ya kijeshi kwa kudhani kuwa wanateseka, kumbe aliyeko madarakani huvugwa na mambo mengi nje ya nchi. Kwa Syria BASHAR AL ASSAD ndo alikuwa kiboko ya Israel, mataifa ya magharibi, na US. WASYRIA wamepoteza mtu sahihi kwa taifa lao japo alikuwa na mapungufu yake.

Ebu turejee Libia, Iraq nk jinsi wananchi wao leo wanavyohangaika na ukosefu wa amani baada ya viongozi wao kuondolewa madarakani kwa hila za mataifa ya magharibi na US na wananchi kukosa utashi na kujikita kwenye wivu na kutawaliwa na hisia za kimagharibi na US.

Popote ulipo BASHAR AL ASSAD nakupa kongole, wewe ni chuma kweli kweli, ona sasa nchi yako imekuwa km danguro kila mtu anaweza kuingia na kufanya chochote, lakini enzi yako hawa wote waliufyata.

NB: WASYRIA wote mlioshangilia kuondoka kwa kiongozi wenu ASSAD kumbukeni "What goes around comes around" and the reality is nearer to prevail.

Said: BANDOKITITA
sikubaliani nawe kama rais assad alikuwa bora syria ,,,,,,,,,kiongozi yoyote awapo madarakani akawa anafunga watu,anapoteza watu huyo si kiongozi........awape uhuru wa kujieleza wananchi wetu
 
Back
Top Bottom