INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Zipo movie zote pendaeli karibu sana ni wewe tu kusema unataka movie za aina gani.
Asante ndugu yangu kwa taarifa, napenda kweli single movie haswa hizo za mack, sorry kwa sasa nipo nje ya dar es laam nikirudi nitakutafuta ndugu yangu . Nikirudi nitakuomba mawasiliano yako ili iwe rahisi, asante sana.
 
Hivi kuna hdd au ssd ya 60TB?
 
Bro unaagiza wapi hizo Hdd zenye TB nyingi?
 
Nomba kuuliza inawezekana kupata hiyo internet mkoani?
Mikoa mikubwa mingi wana hii internet,fatilia tu utagundua mkoa uliopo ni kampuni gani wana bei rafiki na walio na huduma nzuri.

Kila mkoa una wenyewe,ZUKU dar inafahamika kwa wengi kutokana na urahisi yani bei zao ni mteremko kulinganisha na makampuni mengine. Naamini hata ulipo hapakosi Kampuni inayosambaza NET.
 
Kuzifanyia monitoring HDD inahusisha vitu gani na vitu gani?
Movies Store
instal software inaitwa HARD DISK SENTINEL itakusaidia kugundua weakness na faults zote za hard disk husika,zaidi ukiondoa software binafsi jitahidi uwe unazima mashine kbsa ili kupooza hdd zako maana Kinachoua HDD nyingi ni JOTO.

hdd na joto ni maji na mafuta,kama uwezo wa kufunga feni za kutosha eneo unaweka CPU yako fanya hivyo,pesa kama ipo funga AC offisini utasahau swala la HDD kufa.

kuna mengi ya kuzingatia kwa usalama wa data zako ndani ya disk husika ila kwa uchache nadhani umepata kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…