EMANUEL JOHN JOHN
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 502
- 461
HDD yenye movie una uzaje?Nanunua COMPUTER
Nanunua Hard Disk aina zote
Nanunua OFISI ya mtu,kama una office ya movie unataka kuiachia nicheki tufanye kazi,nanunua kila ulichonacho ofisini kwa bei nzuri,epuka Hasara.
50,000GB 500 unajaza movie kwa shs ngapi?
inategemea na size ya HDDHDD yenye movie una uzaje?
Kaka...nna HDD 3 za desktop na Moja ya laptop 500Gb....nna 2 CPU....nchek tifanye business....nipp moroNanunua COMPUTER
Nanunua Hard Disk aina zote
Nanunua OFISI ya mtu,kama una office ya movie unataka kuiachia nicheki tufanye kazi,nanunua kila ulichonacho ofisini kwa bei nzuri,epuka Hasara.
Naitaji hiyo ya laptop nicheki 0764161048Kaka...nna HDD 3 za desktop na Moja ya laptop 500Gb....nna 2 CPU....nchek tifanye business....nipp moro
Nakuja BossKaka...nna HDD 3 za desktop na Moja ya laptop 500Gb....nna 2 CPU....nchek tifanye business....nipp moro
Piga hapa 0678522847Naitaji hiyo ya laptop nicheki 0764161048
Naomba msaada jinsi ya kuendesha hii biashara endapo umeajiri mtu aisimamieNakuja Boss
Hivi computer yako yenye uwezo wa kusoma 100TB ni aina gani kwanza tuanzie hapo.Boss jumla nina 100TB used 10 .72TB sawa ofa yangu iko chini la wewe haupotezi chochote tukifanya biashara.
Unachomeka disk kwenye docking station kisha usb cable kama external inavyokua unauchomeka kwenye pc yako,kazi kwisha.Hivi computer yako yenye uwezo wa kusoma 100TB ni aina gani kwanza tuanzie hapo.
Controla bana,hayo maswali yako.Hivi bwana mkubwa ushawahi kununua Movie za kuangalia tu wewe binafsi na familia nyumbani?
Mwanae wa pekee.. acha nicheke.Ukishajua gharama ya bando la kushusha hizi movie kila mwezi nalipa Sh ngapi, utaona kumbe 4M ni upendeleo wa hali ya juu kama Mungu alivyotupa mwanae wa pekee afe kwa ajili yetu.
Movie store una chekesha.Mtu akishakua na pesa akiwa hana shida ndogo ndogo Hata kama afanye kazi ya kubeba zege watu mlio karibu nae lazima mtasema mwana ana roho nzuri sanaa,maana n kweli ukishakua na hela automaticaly shetani anaendaga mbaliiiiii kuna karoho flan ka upendo amani kwa wengine kanakujaga automaticaly.
Computer inayoweza kubeba 8TB ni yeyote au kuna specifications maalumu?INAUZWA HARD DISK Kampuni ya HARD DISK ni SEAGATE,
Size : 8TB
Price : 250,000
Contacts : kwa muhitaji tuchekiane PM
Location : DAR - M/CITY
HARD DISK lazima utest ujiridhishe na size ya DISK ndipo utoe pesa yako,Popote ndani ya Dar biashara inafanyika (kwa gharama zako mnunuzi) ukihitaji uletewe hata kisarawe,mbagala,mabwepande,nk unaletewa muhimu huko ulipo uwe na LAPTOP/COMPUTER kwa ajili ya kutest disk husika.
sio computer zote zinauwezo huo,ila uki ifanya kama external inawezekana kwa computer zoteComputer inayoweza kubeba 8TB ni yeyote au kuna specifications maalumu?
Goli umefungulia wapi mkuu na changamoto inayokutatiza ni ipi?Nimefungua hii biashara nina miezi miwili lakini hali ni mbaya sana! Sa sijui nimekosea location au hali ni ngumu tu kwa ujumla wake?