INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Habari naweza tumia internal hdd ya laptop kwenye desktop kama extenal hdd na nina dell optilex 7020 core i7 je naweza kuongeza internal hdd 2tb na isilete shida maana nimesikia hdd kubwa zinaua cpu
 
Nanunua COMPUTER

Nanunua Hard Disk aina zote

Nanunua OFISI ya mtu,kama una office ya movie unataka kuiachia nicheki tufanye kazi,nanunua kila ulichonacho ofisini kwa bei nzuri,epuka Hasara.
Kaka...nna HDD 3 za desktop na Moja ya laptop 500Gb....nna 2 CPU....nchek tifanye business....nipp moro
 
INAUZWA HARD DISK Kampuni ya HARD DISK ni SEAGATE,

Size : 8TB

Price : 250,000

Contacts : kwa muhitaji tuchekiane PM

Location : DAR - M/CITY

HARD DISK lazima utest ujiridhishe na size ya DISK ndipo utoe pesa yako,Popote ndani ya Dar biashara inafanyika (kwa gharama zako mnunuzi) ukihitaji uletewe hata kisarawe,mbagala,mabwepande,nk unaletewa muhimu huko ulipo uwe na LAPTOP/COMPUTER kwa ajili ya kutest disk husika.
 
Hivi computer yako yenye uwezo wa kusoma 100TB ni aina gani kwanza tuanzie hapo.
Unachomeka disk kwenye docking station kisha usb cable kama external inavyokua unauchomeka kwenye pc yako,kazi kwisha.

Docking station ndio kazi yake kujaza ma HARD DISK makubwa makubwa maana zina power supply kubwa za maana kwa kazi hizo.

kama ni computer basi ni WORKSATION
 
Mtu akishakua na pesa akiwa hana shida ndogo ndogo Hata kama afanye kazi ya kubeba zege watu mlio karibu nae lazima mtasema mwana ana roho nzuri sanaa,maana n kweli ukishakua na hela automaticaly shetani anaendaga mbaliiiiii kuna karoho flan ka upendo amani kwa wengine kanakujaga automaticaly.
Movie store una chekesha.
 
INAUZWA HARD DISK Kampuni ya HARD DISK ni SEAGATE,

Size : 8TB

Price : 250,000

Contacts : kwa muhitaji tuchekiane PM

Location : DAR - M/CITY

HARD DISK lazima utest ujiridhishe na size ya DISK ndipo utoe pesa yako,Popote ndani ya Dar biashara inafanyika (kwa gharama zako mnunuzi) ukihitaji uletewe hata kisarawe,mbagala,mabwepande,nk unaletewa muhimu huko ulipo uwe na LAPTOP/COMPUTER kwa ajili ya kutest disk husika.
Computer inayoweza kubeba 8TB ni yeyote au kuna specifications maalumu?
 
Back
Top Bottom