ulikuwa unaingiza ngapi kwa siku.Biashara ya kurusha movie nimeifanya tangu mwaka 2011 mpaka 2014, baada ya hapo ikanipa connection ya kazi serikalini JPM alipo ingia madarakai msako wa vyeti feki ukaniondoa huko nikarudi kuifanya ndipo nikapata connectio kwenye kampuni ya wahindi , anay way ni story ndefu, naielewa changa moto zake, maswala ya kuliprishwa memory pale inapotafunwa na wadudu, mara computer kubooma, naona kwa sasa imenoka natamani kurudi tena kwenye biashara hii, ila miaka hiyo tulianza kwa ugumu kweli
50 mpaka 70 kwa sikuulikuwa unaingiza ngapi kwa siku.
Popote mkuu unaweza ifungua DODOMA hapo hapo nina plan yakuja fungua ofisi na ninavyoandika hapa wapo watu wenye movie store wakubwa tu hapo dodoma,tembelea ofisi zao utawaona wanachokifanya.
Kuna hawa wanajiita Cipherdot Series and Movies wapo mtaa wa Uhindini hapo nenda pale utawakuta utaona ofisi utaona uwekezaji uliofanyika.
Kuna huyu mwingine BABALAO mimi namuita hivyo na ndie ROLE MODEL wangu yeye anajiita BOBPAAK MOVIES huyu yupo mtaaa Mtendeni Street pale National Insuarance,Utawakuta hawa B.O.B wanajua biashara ilivyo na ukienda wagusa ukataka stock yao Bei utayotajiwa usipozimia basi unaweza kuzirai maana watu nmewatajia 4M wanahisi ni pesa ya kutishwa,sasa ukienda B.O.B bei zao n za mwana ukome.
Ilinibidi nicheke tu,[emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] [emoji1]Mkoani ili u enjoy tafuta external za GB 250 au 300GB mbili kisha moja nakua nayo huku nyingine unakua nayo huko,ukimaliza hizo huko unaniambia nakutumia hii nyingine ikiwa na movie pendwa ulizontajia kwahyo external zinapshana hapo njiani, 250 inakuja kwako 300 inakuja kwangu,mchezo wetu unakua ni huo huo,Mpaka pale utakapo staafu kuangalia movie.
Window defender inanitosha sanaaaaaa mkuu,maana internet n muda wote ipo Active,sipendelei ma antivirus kabisa Window 11 ndio kila kitu.Ndugu Movies Store huwa unatumia anti virus gani kulinda mashine yako.
mpaka MWANZA wapo sio watu wakuwachukulia poa kabisa,ukitaka jua movie is a real business tembelea ofisi zao.Hao BOB PAAK nimewaona pia kinondoni studio na tabata
Hata kwa 500k unaanza inategemea tu unataka kuanza anzaje,Sio lazima 1m hata 50k mtu unaanza depends tu na unavyotaka kuanza.4m!!!!!
Nilikuwa nawaza kwa bajeti ya 1m kama mtaji wa soft movies na zile za kwenye CD ukiondoa mashine (CPU) na woofer ya kusikilizia
Usichoke mkuu,kaa kitako upate mawili matatushukran boss ,kuna vitu naendelea kujifunza hapa
sijaelewa Mkuu Android Video games Store yani umelenga hasa nini?Mkuu mimi ni olevel boy , napendelea hii business,kwa upande wa android video games store,kwa maono yako inawezakana?kivipi? MSAADA 🙏🙏🙏
Vipi upande wa Window Defender window teni?Window defender inanitosha sanaaaaaa mkuu,maana internet n muda wote ipo Active,sipendelei ma antivirus kabisa Window 11 ndio kila kitu.
Window defender n Antivirus nzuri kama zilivyo zingineVipi upande wa Window Defender window teni?
Karibu uulize chochote usisite kufanya hivyo utakapotamani kufahamu swala lolote kuhusu Movie Store.Sina uzoefu wowote na hii business lakin naitaman.
Wakubwa endeleeni kushusha nondo
SWALI NZURIKuhusu leseni ya biashara, utaratibu unakua kama wa biashara zingine tu?
INAWEZEKANA,Yaani ,badala ya kuwa movie store iwe games store (iwe na collection zote za games)
unakua na leseni na TIN ya biashara kAMA biashara zingine,kama na nyimbo unaingiza unakua na leseni na kibali pia toka TVLA.Kuhusu leseni ya biashara, utaratibu unakua kama wa biashara zingine tu?
We uko wapi njoo tushikiane tuifanye...Biashara ya kurusha movie nimeifanya tangu mwaka 2011 mpaka 2014, baada ya hapo ikanipa connection ya kazi serikalini JPM alipo ingia madarakai msako wa vyeti feki ukaniondoa huko nikarudi kuifanya ndipo nikapata connectio kwenye kampuni ya wahindi , anay way ni story ndefu, naielewa changa moto zake, maswala ya kuliprishwa memory pale inapotafunwa na wadudu, mara computer kubooma, naona kwa sasa imenoka natamani kurudi tena kwenye biashara hii, ila miaka hiyo tulianza kwa ugumu kweli
Kigoma townWe uko wapi njoo tushikiane tuifanye...