Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Experience yako katika masuala ya ndoa bado sana.

Kwenye 1. Na 2 huna unachojua umeamua kuandika tu.

Nilishawahi kusema. Kama MTU unampenda kwa dhati hayo mengine yatajisort yenyewe.



God save us
 
Miaka hii haiongelewi kabisa swala la kuoa bikra. Au zinatolewa wakati wa kukata kitovu!
 
hata single mother anaweza akawa ametoa mimba pia.mzee lazima awasiliane na mzazi mwenzake hata iweje kwasababu wameshazaa tena kabla yako wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
urithi haumuhusu mzee huyo ni mtoto wa kambo tu.kumtunza na kumlea ni urithi tosha kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu unaongea naona vinanigusa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…