Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Rais ni mwajiriwa kweli...anapokidhi vigezo vya kuajiriwa anaingizwa rasmi katika ule umoja wa utatu mtukufu tulionao ,URAIS ,JMT na sisi WANANCHI.....Mkuu, hivi haujui kwamba Rais ni mwajiriwa, na mwajiri wake ni Mwananchi, ndio maana wanachukuaga fomu za kuomba kazi hiyo. JMT ndio makazi ya hao wote wawili