Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ni kwelimuda ukifika kila kitu kitatokea bila matarajio yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwelimuda ukifika kila kitu kitatokea bila matarajio yao
Hizo sio kazi za vyombo vya Ulinzi na usalama
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
TISS na POLICE wakiamua wayafate haya mnayoyataka basi patatokea machafuko hapa nchini ambayo hao JW watashindwa kuyazuiaSawa mkuu wangu, kakini sijasema naviamini vyote, TISS na Polisi ni wahalifu wenza wa CCM.
Mkuu, kuapa kwao kwa Rais ni kwa sababu yeye ndie Mkuu wao wa kazi (Amiri Jeshi Mkuu), ambaye amepewa Mamlaka na Wananchi. Aidha katika kiapo hicho, wanaapa kwa Rais kwaba "watawalinda Wananchi wa Jamhuri ya Muungano 🇹🇿 na Mipaka yake. Nadhani sasa utaelewa.Hivi mkuu umesahau kuwa wanajeshi kule TMA kozi wanavikwa NYOTA ya uluteni na mh.Rais wa JMT ?!!
Hebu waulize kuhusu KIAPO wanachomuahidi AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA......
Unachanganywa wapi hau ?!!
Ha ha ha ha mkuu wangu unazunguuukaaa.....Mkuu, kuapa kwao kwa Rais ni kwa sababu yeye ndie Mkuu wao wa kazi (Amiri Jeshi Mkuu), ambaye amepewa Mamlaka na Wananchi. Aidha katika kiapo hicho, wanaapa kwa Rais kwaba "watawalinda Wananchi wa Jamhuri ya Muungano 🇹🇿 na Mipaka yake. Nadhani sasa utaelewa.
Huduma yao ya ulinzi na usalama haina mipaka ya kutowafikia hao WANASIASA.....Vyombo vya ulinzi na usalama vinajua katiba na sheria za nchi? Wafanye kazi yao ya kutoa huduma ya ulinzi na usalama, sio kukimbizana na wanasiasa, wa upinzani tu, na kukumbatia wa chama tawala.
Umeweka AVATAR ya mwenye heri EL Commandante JKN nikadhani nawe una fikra pana sana...Kuanzia bungeni, kwenye media zote, halmashauri hadi kwako nyumbani - kote huko mnaabudu na kuimba mapambio as if bila Rais hamuwezi kuishi na kufanya kazi!
Yaani kwenu chura kiziwi anakuja kabla ya MUNGU!
Ovyo sana!
TPDF ndio wanaohakikisha wapinzani hawashiki dola Zanzibar since 1995. Vyombo vyote vya usalama Tz ni "lao moja".
Ikikaribia uchaguzi wanashika bandari zote, airport zote, vyombo vya habari vya serikali, wanaweka vizuizi barabarani kila baada ya kilometer kadhaa, wanazingira ikulu....
Zanzibar kila miaka mitano literally JW wanaongoza mapinduzi mapya kwa kushirikiana na taasisi nyengine za serikali.
Upinzani Tz bado una safari ndefu.
Define Treason for the sake of majority understanding! Au unadhani ukisema treason itatishia zaidi! Je vyombo vya usalama vinapofanya alliance na CCM hadharani kama hapa huoni ukandamizaji usiopaswa kufanyiwa?
View: https://youtu.be/_m1RFcDeTVY?si=_i0Ys2B2NENeOquS au nchi hii ni Mali ya watu Fulani tu na watu wanapaswa kutawaliwa Kwa lazima na ghiliba na kundi fulani
Una maana ukifanyika uchaguzi huru na haki bila wizi unaratibiwa na TISS na Polisi patatokea vurugu? Mbona sikuelewi, yaani kuwa watu hawataki uchaguzi huru na haki?TISS na POLICE wakiamua wayafate haya mnayoyataka basi patatokea machafuko hapa nchini ambayo hao JW watashindwa kuyazuia
Mkuu, huko China ukikutwa na makosa ya ubadirifu na rushwa, kifo kinakuhusu.Unaijua China? Tangu 1949 mpk leo inatawaliwa na CPC, CCM inafanya vizuri hatutaki hao vibaraka
Mkuu, hivi haujui kwamba Rais ni mwajiriwa, na mwajiri wake ni Mwananchi, ndio maana wanachukuaga fomu za kuomba kazi hiyo. JMT ndio makazi ya hao wote wawiliHa ha ha ha mkuu wangu unazunguuukaaa.....
JMT ,Rais , Watanzania ni KITU KIMOJA..... falsafa pana hiyo mkuu wangu !
#JMT kwanza !
Maboresho ya katiba yatasaidia pia vyombo vya ulinzi kuboreshwa na kuwa vya kisasa zaidi.Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
JKN nilimuelewa mapema sana hasa alipoanza kupingana na mamlaka za ccm.Umeweka AVATAR ya mwenye heri EL Commandante JKN nikadhani nawe una fikra pana sana...
Mkuu ni kweli bila RAIS mambo yetu watanzania hayaendi.....
Haina maana tunamuabudu Rais bali TUNAUADHIMISHA urais....hata ingekuwa wewe ndiye Rais hakika ningekuadhimisha vyema tu.....
Kumuadhimisha Rais ndiko kunakoleta UTULIVU NA AMANI ambayo akina Aziz Ki wanaamua KULOWEA hapa JMT.... wakongomani walioko hapa wanajua wanachopitia kwa M 23.....
Yaaani machafuko yatokee kwa mafisadi CCM kutolewa madarakani?TISS na POLICE wakiamua wayafate haya mnayoyataka basi patatokea machafuko hapa nchini ambayo hao JW watashindwa kuyazuia
Mkuu. Mimi sijazungumzia Jeshi. Nimezungumzia Vyombo vya ulinzi na usalama, ambavuo ni vingi tu katika nchi hii. Vyombo hivi vinajukumu la kunusa hali ya hatari na kumshauri Raisi nini cha kufanya kuepukana na hatari hiyo. Watakuwa wazembe kama wataona hatari mbele yetu halafu wakashindwa kumshauri Raisi nini cha kufanya kihofia kuonekana wanajiingiza kwenye siasa.Mkuu,
Kwanza kabisa, nakuelewa sana. Lissu anasimamia mengi ya msingi yanayohitaji kusimamiwa. Kwa hiyo siko hapa kumpinga Lissu.
Lakini. Strategy yako ina maswali mengi kuliko majibu.
Item 1 ni violation ya kanuni muhimu ya civilian control of the military. Katika nchi ya kidemokrasia, uongozi wa jeshi hauna mamlaka ya kuwapangia viongozi wa kiraia nini cha kufanya. Viongizi wa kiraia ndio wanalipangia jeshi nini cha kufanya.
Item 2 ina contradict item 1. Ukishaanza kwa kusema wanajeshi waingilie siasa (item 1), halafu ukaifuatia point hiyo kwa kusema wanajeshi wasiingilie siasa (item 2) hapo kuna contradiction. Unataka wanajeshi waingilie siasa au wasiingilie siasa? Unajichanganya.
Item 3 nayo ina contradict kanuni ya msingi ya wanajeshi kutojiingiza katika siasa.
Kimsingi hapo points zako zimekaa hivi.
1. Wanajeshi wajiingize katika siasa.
2. Wanajeshi wasijiingize katika siasa.
3. Wanajeshi wajingize katika siasa.
This is nit only a contradiction.
It is a contradiction within another contradiction.
Kitu pekee ambacho wanapaswa kufanya kama vyombo vya ulinzi na usalama ni kumshughulikia Lissu endapo atavuka mipaka ya uchochezi.Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
CCM ni IMANI na si mali binafsi ya hayati baba wa taifa.....JKN nilimuelewa mapema sana hasa alipoanza kupingana na mamlaka za ccm.
Angekuwepo hadi leo angeshawaamsha wengi kutoka usingizini!
Hata Gadafi, Asad na Sadam walitumia vyombo vya ulinzi na usalama vya Nchi zao kushughulikia wapinzani, Leo wapo wapi?Kitu pekee ambacho wanapaswa kufanya kama vyombo vya ulinzi na usalama ni kumshughulikia Lissu endapo atavuka mipaka ya uchochezi.