Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Inabidi pawe na mabwawa makubwa ya umwagiliaji wa alizeti. Mashamba makubwa eka 5000 au 10000 na zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mikopo ya Pembejeo wanatangaza kutoa, kujaribu kufuatilia uone kama inapatika kwa urahisi kama wanavyodanganya hapo. Katiba Mpya ni muhimu sana sana.Serikali inatoa pesa za mitaji ila watu wanataka kubet tuu mjini.
KILIMO CHA KUFA NA KUPONA, KILIMO NI UTI WA MGONGO, KILIMO KWANZA n.k Kaulimbiu za kisiasa miaka nenda rudi hazijawhi kuleta tija kwenye kilimo. Kilimo ni mikakati ni za idi ya kaulimbiu.Hii nchi kipaumbele pekee ni mambo tusiyo na uhakika nayo,kuhusu kilimo bado sana
Akipatikana Rais Mmoja tu akafunga macho akakomaa na kilimo sio cha alizeti Tu ila kila zao
Tanzania tunatoboa,sio bandari sio nini itakuta income inayotokea kuptia kilimo n basi hajapatkana Rais mwenye Jicho la kuangalia wapi pesa ipo
Kama tunashindwa wenyewe tukaribishe investors watakao lima na kuzalisha mafuta angalau vijana wetu watapata ajira. Wakati wa Ukoloni, Waingereza walikaribisha enzi hizo Wagiriki wenye hela na walilima kuanzia maparachichi, mkonge hata karanga.Wasomi hawajawahi kua na shida na Mitaji, shida zao"
1.kutokua Risk takers( tuna calculate risk sana)
2. Uoga wa kufeli( whatif)
3. Kilimo cha whatsapp(pigwa sana na wasimamizi wa mashamba)
4. Kukifanya kilimo km side income, hivyo ku pay attention kubwa na kazi ya kuajiriwa kuliko kilimo.
5. Kuanzia kilimo shambani instead ya sokoni kujua soko likoje kabla ya kuanza kilimo(disapointement during selling)
6. Kukata tamaa mapema(hii inachangiwa na kua na uhakika wa salary)
Aisee tunadanganywa vingi sana Wadanganyika sisiHivi zile billions za Bashe ziko Wapi?
Watanzania ni watu wa kuridhika sana. Hata hiyo wanayolima ni kwa ajili ya kupoza njaa sio biashara.Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.
Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?
Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Sio mitaji, bei ya mazao ya kiimo ndiyo kikwazo. Na bei hii si halisi imetengenezwa na wanasiasa kwa maslahi yao. Kama bei nzuri kila mtu atafanya juu chini alime, hata benki zitaweza kopesha wakulima.Mitaji ndiyo inakwamisha wasomi kuji in giza katika kilimo cha kisasa kinachohitaji uwekezaji mkubwa.
Vijana wakijiunga kama 20 na waweke milioni tano kila mmoja, wapate ekari 300 na kulima alizeti wanaweza kabadilisha maisha yao na ya Watanzania wengine wanaowazunguka.
Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.
Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?
Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Malaysia wameteka soko la tui la nazi za makopo katika dunia yote ya Magharibi, na mapishi ya kutumia nazi yanaongezeka kutokana na globalisation. Kwakutumia ardhi yetu hata sisi tungeweza kusambaza tui la nazi hata East Africa tu.Sikujua kama kuna think tanks Tanzania!
Vipaumbele na maonoSehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.
Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?
Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Kulima si tatizo, lakini kodi na ukiritimba wa kuwekeza Tanzania ata kwa raia ni shida sana. Tanzania ina shida sana na hatutafika ata kidogo. Serikali inahitaji overall kubwa sana.Malaysia wameteka soko la tui la nazi za makopo katika dunia yote ya Magharibi, na mapishi ya kutumia nazi yanaongezeka kutokana na globalisation. Kwakutumia ardhi yetu hata sisi tungeweza kusambaza tui la nazi hata East Africa tu.
Wazo Zuri sana hili. Sasa hivi tumeanza kulima Hili zao huku kusini baada ya majaribio kufanya vizuriMitaji ndiyo inakwamisha wasomi kuji in giza katika kilimo cha kisasa kinachohitaji uwekezaji mkubwa.
Vijana wakijiunga kama 20 na waweke milioni tano kila mmoja, wapate ekari 300 na kulima alizeti wanaweza kabadilisha maisha yao na ya Watanzania wengine wanaowazunguka.
Hii kodi kuwa juu inawakosesha hela nyingi serikali. Ajira zikiwa nyingi na walipa kodi kuongezeka wanapata pesa nyingi zaidi.Kulima si tatizo, lakini kodi na ukiritimba wa kuwekeza Tanzania ata kwa raia ni shida sana. Tanzania ina shida sana na hatutafika ata kidogo. Serikali inahitaji overall kubwa sana.
Ndo maana yake. Lakini hakuna wizara mfu kama ya kilimo kwa upande wa marketing. Sijuhi kitengo chao cha marketing kinafanya kazi gani. Kuna watu wanalima hawajuhi watauza wapi. Wanaouza kwa ajili ya kuuza nje nao wanashindwa sababu ya ukiritimba na kutokuwa connected na wauzaji. Katika dunia ya leo kilimo ndo biashara ya uhakika.Hii kodi kuwa juu inawakosesha hela nyingi serikali. Ajira zikiwa nyingi na walipa kodi kuongezeka wanapata pesa nyingi zaidi.
Nimegungua ni kwanini Marekani wanakaribisha wahamiaji kwa mtindo wa green card lottery, wanaongeza walipa kodi na wawekezaji kupata nguvu kazi.
Ni kweli dunia ya leo kilimo ni pesa tupu, kwanza idadi ya watu duniani inaongezeka kutokana na huduma bora za afya. Pia technology imerahisisha logistics ya mazao. Enzi za WW1 mchele ulikua ni chakula cha wenye pesa masini walikula simu za sikukuu tu.Ndo maana yake. Lakini hakuna wizara mfu kama ya kilimo kwa upande wa marketing. Sijuhi kitengo chao cha marketing kinafanya kazi gani. Kuna watu wanalima hawajuhi watauza wapi. Wanaouza kwa ajili ya kuuza nje nao wanashindwa sababu ya ukiritimba na kutokuwa connected na wauzaji. Katika dunia ya leo kilimo ndo biashara ya uhakika.
Umenikumbusha kuhusu hawa makaburu. Yaani hawa jamaa ni hatari linapokuja swala la kilimo. Walipofukuzwa walienda mpaka Congo Brazaville vijijini kutafuta mashamba. Hawa ndo wanajua kilimo halisiNi kweli dunia ya leo kilimo ni pesa tupu, kwanza idadi ya watu duniani inaongezeka kutokana na huduma bora za afya. Pia technology imerahisisha logistics ya mazao. Enzi za WW1 mchele ulikua ni chakula cha wenye pesa masini walikula simu za sikukuu tu.
Wale Makaburu waliokimbia South Africa baada ya Mandela kuwa Rais walikaribishwa kwao Holland lakini wanajua thamani ya ardhi, wamenunua ardhi Austria na New Zealand na sasa ni wakulima na wazalishaji wa wine pia wafugaji wa ng’ombe na kuku.
Wale wakianza kilimo kwa uchache wanaanza na ekari 200. Unamkuta mtu ana shamba la ekari 3,000 na lote linazalisha.Umenikumbusha kuhusu hawa makaburu. Yaani hawa jamaa ni hatari linapokuja swala la kilimo. Walipofukuzwa walienda mpaka Congo Brazaville vijijini kutafuta mashamba. Hawa ndo wanajua kilimo halisi
Wale wakianza kilimo kwa uchache wanaanza na ekari 200. Unamkuta mtu ana shamba la ekari 3,000 na lote linazalisha.
Enzi Zimbabwe inaitwa Rhodesia, unamkuta settler ana shamba la ekari 3,000 ndani ana shule kwaajili ya watoto wa wafanyakazi, zahanati na mini supermarket.
Rhodesia ilizalisha mahindi ya kutosha kulisha Afrika.
Hii nchi kipaumbele pekee ni mambo tusiyo na uhakika nayo,kuhusu kilimo bado sana
Akipatikana Rais Mmoja tu akafunga macho akakomaa na kilimo sio cha alizeti Tu ila kila zao
Tanzania tunatoboa,sio bandari sio nini itakuta income inayotokea kuptia kilimo n basi hajapatkana Rais mwenye Jicho la kuangalia wapi pesa ipo