Kwa ardhi tuliyonayo tunashindwa nini kuzalisha alizeti tukawa wauzaji wa mafuta kwa Afrika

Serikali inatoa pesa za mitaji ila watu wanataka kubet tuu mjini.
Kuna mikopo ya Pembejeo wanatangaza kutoa, kujaribu kufuatilia uone kama inapatika kwa urahisi kama wanavyodanganya hapo. Katiba Mpya ni muhimu sana sana.

Mfuko wa Pembejeo.jpg
 
Attachments

Hii nchi kipaumbele pekee ni mambo tusiyo na uhakika nayo,kuhusu kilimo bado sana

Akipatikana Rais Mmoja tu akafunga macho akakomaa na kilimo sio cha alizeti Tu ila kila zao

Tanzania tunatoboa,sio bandari sio nini itakuta income inayotokea kuptia kilimo n basi hajapatkana Rais mwenye Jicho la kuangalia wapi pesa ipo
KILIMO CHA KUFA NA KUPONA, KILIMO NI UTI WA MGONGO, KILIMO KWANZA n.k Kaulimbiu za kisiasa miaka nenda rudi hazijawhi kuleta tija kwenye kilimo. Kilimo ni mikakati ni za idi ya kaulimbiu.
 
Wasomi hawajawahi kua na shida na Mitaji, shida zao"
1.kutokua Risk takers( tuna calculate risk sana)
2. Uoga wa kufeli( whatif)
3. Kilimo cha whatsapp(pigwa sana na wasimamizi wa mashamba)
4. Kukifanya kilimo km side income, hivyo ku pay attention kubwa na kazi ya kuajiriwa kuliko kilimo.
5. Kuanzia kilimo shambani instead ya sokoni kujua soko likoje kabla ya kuanza kilimo(disapointement during selling)
6. Kukata tamaa mapema(hii inachangiwa na kua na uhakika wa salary)
Kama tunashindwa wenyewe tukaribishe investors watakao lima na kuzalisha mafuta angalau vijana wetu watapata ajira. Wakati wa Ukoloni, Waingereza walikaribisha enzi hizo Wagiriki wenye hela na walilima kuanzia maparachichi, mkonge hata karanga.

Faida waliyoipata Waingereza ni ongezeko la walipa kodi.
 
Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.

Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?

Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Watanzania ni watu wa kuridhika sana. Hata hiyo wanayolima ni kwa ajili ya kupoza njaa sio biashara.
 
Mitaji ndiyo inakwamisha wasomi kuji in giza katika kilimo cha kisasa kinachohitaji uwekezaji mkubwa.

Vijana wakijiunga kama 20 na waweke milioni tano kila mmoja, wapate ekari 300 na kulima alizeti wanaweza kabadilisha maisha yao na ya Watanzania wengine wanaowazunguka.
Sio mitaji, bei ya mazao ya kiimo ndiyo kikwazo. Na bei hii si halisi imetengenezwa na wanasiasa kwa maslahi yao. Kama bei nzuri kila mtu atafanya juu chini alime, hata benki zitaweza kopesha wakulima.
 
Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.

Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?

Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.

Sikujua kama kuna think tanks Tanzania!
 
Sikujua kama kuna think tanks Tanzania!
Malaysia wameteka soko la tui la nazi za makopo katika dunia yote ya Magharibi, na mapishi ya kutumia nazi yanaongezeka kutokana na globalisation. Kwakutumia ardhi yetu hata sisi tungeweza kusambaza tui la nazi hata East Africa tu.
 
Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna.

Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji wa kuu wa alizeti kwa soko la Afrika?

Ukraine waliwekeza sana kwenye zao hili na mziki wake tunauona baada ya hii vita kuanza. Pamoja na ardhi tuliyonayo, hata sisi ni wateja wa mafuta ya alizeti kutoka huko.
Vipaumbele na maono
 
Malaysia wameteka soko la tui la nazi za makopo katika dunia yote ya Magharibi, na mapishi ya kutumia nazi yanaongezeka kutokana na globalisation. Kwakutumia ardhi yetu hata sisi tungeweza kusambaza tui la nazi hata East Africa tu.
Kulima si tatizo, lakini kodi na ukiritimba wa kuwekeza Tanzania ata kwa raia ni shida sana. Tanzania ina shida sana na hatutafika ata kidogo. Serikali inahitaji overall kubwa sana.
 
Mitaji ndiyo inakwamisha wasomi kuji in giza katika kilimo cha kisasa kinachohitaji uwekezaji mkubwa.

Vijana wakijiunga kama 20 na waweke milioni tano kila mmoja, wapate ekari 300 na kulima alizeti wanaweza kabadilisha maisha yao na ya Watanzania wengine wanaowazunguka.
Wazo Zuri sana hili. Sasa hivi tumeanza kulima Hili zao huku kusini baada ya majaribio kufanya vizuri
 
Kulima si tatizo, lakini kodi na ukiritimba wa kuwekeza Tanzania ata kwa raia ni shida sana. Tanzania ina shida sana na hatutafika ata kidogo. Serikali inahitaji overall kubwa sana.
Hii kodi kuwa juu inawakosesha hela nyingi serikali. Ajira zikiwa nyingi na walipa kodi kuongezeka wanapata pesa nyingi zaidi.

Nimegungua ni kwanini Marekani wanakaribisha wahamiaji kwa mtindo wa green card lottery, wanaongeza walipa kodi na wawekezaji kupata nguvu kazi.
 
Ndo maana yake. Lakini hakuna wizara mfu kama ya kilimo kwa upande wa marketing. Sijuhi kitengo chao cha marketing kinafanya kazi gani. Kuna watu wanalima hawajuhi watauza wapi. Wanaouza kwa ajili ya kuuza nje nao wanashindwa sababu ya ukiritimba na kutokuwa connected na wauzaji. Katika dunia ya leo kilimo ndo biashara ya uhakika.
 
Ni kweli dunia ya leo kilimo ni pesa tupu, kwanza idadi ya watu duniani inaongezeka kutokana na huduma bora za afya. Pia technology imerahisisha logistics ya mazao. Enzi za WW1 mchele ulikua ni chakula cha wenye pesa masini walikula simu za sikukuu tu.

Wale Makaburu waliokimbia South Africa baada ya Mandela kuwa Rais walikaribishwa kwao Holland lakini wanajua thamani ya ardhi, wamenunua ardhi Austria na New Zealand na sasa ni wakulima na wazalishaji wa wine pia wafugaji wa ng’ombe na kuku.
 
Umenikumbusha kuhusu hawa makaburu. Yaani hawa jamaa ni hatari linapokuja swala la kilimo. Walipofukuzwa walienda mpaka Congo Brazaville vijijini kutafuta mashamba. Hawa ndo wanajua kilimo halisi
 
Wale wakianza kilimo kwa uchache wanaanza na ekari 200. Unamkuta mtu ana shamba la ekari 3,000 na lote linazalisha.

Enzi Zimbabwe inaitwa Rhodesia, unamkuta settler ana shamba la ekari 3,000 ndani ana shule kwaajili ya watoto wa wafanyakazi, zahanati na mini supermarket.

Rhodesia ilizalisha mahindi ya kutosha kulisha Afrika.
 
Ajabu viongozi wa Tanzania na wastaafu wana mashamba hawalimi wametunza baadaye waje wauze
 
Hii nchi kipaumbele pekee ni mambo tusiyo na uhakika nayo,kuhusu kilimo bado sana

Akipatikana Rais Mmoja tu akafunga macho akakomaa na kilimo sio cha alizeti Tu ila kila zao

Tanzania tunatoboa,sio bandari sio nini itakuta income inayotokea kuptia kilimo n basi hajapatkana Rais mwenye Jicho la kuangalia wapi pesa ipo​
Huwa tunasingizia tunaimarisha miundombinu ya barabara ili zipitike mpaka mashambani wakulima wasije kukosa kuuza mazao yao.

Lakini Muhindi, Mchina wao wanakuja na hayo mazao yanatoka mpaka huko vichochoroni na wanaondoka nayo. Ufuta mnunuzi mkubwa ni Muhindi na nafikiri Alizeti mnunuzi mkubwa ni Mchina.

Hii nchi baada ya mkulima kulindwa yeye ndiye amegeukwa na kufanywa furushi la dili. Kahawa wameua kwa bei za kijinga wakati wenzetu wa jirani wana bei nzuri sana. Jana nimeona wakulima wakilalamika utitiri wa tozo kwenye hilo zao kitu ambacho kinasababisha bei ya mwisho kwa mkulima kuwa kiduchu sana. Na ipo hivyo kwenye mazao mengi tu..

Tutakapoamua kuwa serious na kilimo tuna ardhi kubwa ya kulima na kubaki na baki kubwa tu tutakaloweza kuuza nje na kubalance trade yetu. Leo hii unakuta asilimia zaidi ya 80 ya mazao yanayotoa mafuta tunauza nje alafu kesho tunaagiza mafuta ya kula kwa haohao tuliowauzia na wakatipiga bei mara tatu zaidi.

Ningependa sana awamu hii tumalize hii miradi yao wanayoiita ya kimkakati then kuanzia 2025 tupate serikali itakayopambana kumkwamua mkulima. Mkulima hatuwezi kumkwamua kwa kumpa mbolea ya rudhuku tu bali kuimarisha mnyororo wote wa thamani kuanzia anapoaanza kuandaa shamba mpaka anapopeleka mazao yake sokoni. INAWEZEKANA!!​
 
mi naamini serikali ilishafungua milango kwa wawekezaji shida ninayoiona wazalishaji wa mafuta ya kula hapa kwetu wanapenda kuagiza nje mafuta ghafi wanamalizia utengenezaji hapa nyumbani. hapa wanapiga ndege wawili kwa jiwe moja, kwanza akiyaagiza indonesia/malaysia anayanunua kwa bei ya chini sana, pili kodi kidogo au msamaha au kukwepa yote yanawezekana. lakini pia kilimo chetu bado hakijawa promising kwa viwanda vikubwa kukitegemea, hatulimi kilimo bora(mbegu za kisasa), pia tunategemea sana kudra ya mwenyezi MUNGU mvua inyeshe au ukame upige. Ni changamoto inayohitaji mjadala mpana wa kitaalamu
 
Back
Top Bottom