Kwa asili kuna ishara Tundu Lissu ni Dikteta na Much know hafai kwenye nafasi ya Urais na Uenyekiti

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam Bazzukulu,

Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa.

Kwa sifa hizo mbovu hafai kuwa na cheo cha juu sana cha Urais na Uenyekiti wa Chama chake. Abaki tu na sifa za uanaharakati, na kuwa kwenye front battle ya kupambania haki kitaifa, katiba na kuleta mabadiriko.

I just like him because he has got guts and guts is for strong men that can liberate the society.

But some how his association with the imperialist nations in the western world can also be his dirty side of his to be trusted for high authorities and powerful position.

Guts only can not make him an ideal person to lead the nation at presidential level.

That's it.

Wadiz
 
Sio Lisu tuu,mtu yeyote mwenye msimamo mkali ni dikteta na mbaya zaidi awe ana ego ya kujiona smart basi mjue nyie wengine atakuwa anawaona wajinga eg Nyerere,Sokoine, Mwendazake,Lisu and the likes of Bashiru,Polepole, Mwigulu,Bashe.

Watu wanaofaa kuwa Marais ni Waungwana ila hao niliowataha wanastahili kuwa chini ya mtu mwingine
 
Km mama Samia ni muungwana
 
Wasalaam Bazzukulu,

Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa...
Kumbe taifa halina haki?

Ushawahi kuona Dictator anapambania haki?
 
Sio Lisu tuu,mtu yeyote mwenye msimamo mkali ni dikteta na mbaya zaidi awe ana ego ya kujiona smart basi mjue nyie wengine atakuwa anawaona wajinga eg Nyerere,Sokoine, Mwendazake,Lisu and the likes of Bashiru,Polepole, Mwigulu,Bashe.

Watu wanaofaa kuwa Marais ni Waungwana ila hao niliowataha wanastahili kuwa chini ya mtu mwingine
Mwezi wa kwanza je?
 
Dah Mwigulu ndo hafai kabisa anaweza chapa watu makofi hadharani hafai kabisa
 
Sio Lisu tuu,mtu yeyote mwenye msimamo mkali ni dikteta na mbaya zaidi awe ana ego ya kujiona smart basi mjue nyie wengine atakuwa anawaona wajinga eg Nyerere,Sokoine, Mwendazake,Lisu and the likes of Bashiru,Polepole, Mwigulu,Bashe.

Watu wanaofaa kuwa Marais ni Waungwana ila hao niliowataha wanastahili kuwa chini ya mtu mwingine
Leo umezungumza unwell,by the way maendeleo katika Nchi nyingi Duniani yameletwa na watu wa aina hiyo_wenye misimamo mikali
 
Nature inaeleza hivi ukimuona mtu yeyote anayejiona kuwa na Uwezo wa kufahamu kila jambo na asiyetaka kukosolewa na mwenyekujiona yeye ndiye anamawazo bora kuliko wengine, MUOGOPE SANA, HATA NDANI YA CHADEMA WAMEMCHOKA KWELI, ISPOKUWA WANAMSTAHI, HASHAURIKI, HAAMBILIKI, YEYE NDIYE ANAJUA KILA KITU, OGOPA THIS TYPES OF HUMAN BEING!
 
Wasalaam Bazzukulu,

Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa.

Kwa sifa hizo mbovu hafai kuwa na cheo cha juu sana cha Urais na Uenyekiti wa Chama chake. Abaki tu na sifa za uanaharakati, na kuwa kwenye front battle ya kupambania haki kitaifa, katiba na kuleta mabadiriko.

I just like him because he has got guts and guts is for strong men that can liberate the society.

But some how his association with the imperialist nations in the western world can also be his dirty side of his to be trusted for high authorities and powerful position.

Guts only can not make him an ideal person to lead the nation at presidential level.

That's it.

Wadiz
'lopolopo'?? R na l changamoto. 'association with imperialist nations' yani we ni kichwa maji kabisa, kwani Samia anaendaga kukopa na kuomba ela wapi? Hiyo siyo association we bunju?
 
Nature inaeleza hivi ukimuona mtu yeyote anayejiona kuwa na Uwezo wa kufahamu kila jambo na asiyetaka kukosolewa na mwenyekujiona yeye ndiye anamawazo bora kuliko wengine, MUOGOPE SANA, HATA NDANI YA CHADEMA WAMEMCHOKA KWELI, ISPOKUWA WANAMSTAHI, HASHAURIKI, HAAMBILIKI, YEYE NDIYE ANAJUA KILA KITU, OGOPA THIS TYPES OF HUMAN BEING!
Wewe haupo CHADEMA,huo uongo unautunga ukiwa Kijiji gani?
 
Back
Top Bottom