Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
wachache sana wanaliona hilo. sio kwamba mimi ni mshabiki wa wanasiasa napenda kumuona kiongozi bora anayetufaa. nammunga mkono tl kwa asilimia nyingi na usemaji wake lakini hafai kabisa kuwa kiongozi mwenye madaraka makubwaWasalaam Bazzukulu,
Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa.
Kwa sifa hizo mbovu hafai kuwa na cheo cha juu sana cha Urais na Uenyekiti wa Chama chake. Abaki tu na sifa za uanaharakati, na kuwa kwenye front battle ya kupambania haki kitaifa, katiba na kuleta mabadiriko.
I just like him because he has got guts and guts is for strong men that can liberate the society.
But some how his association with the imperialist nations in the western world can also be his dirty side of his to be trusted for high authorities and powerful position.
Guts only can not make him an ideal person to lead the nation at presidential level.
That's it.
Wadiz
Aliyekuwa bodyguard.. (..)Wewe haupo CHADEMA,huo uongo unautunga ukiwa Kijiji gani?
As a matter of methodical doubt, justify your claim. Otherwise, you want to take us for a ride!Wasalaam Bazzukulu,
Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa.
Kwa sifa hizo mbovu hafai kuwa na cheo cha juu sana cha Urais na Uenyekiti wa Chama chake. Abaki tu na sifa za uanaharakati, na kuwa kwenye front battle ya kupambania haki kitaifa, katiba na kuleta mabadiriko.
I just like him because he has got guts and guts is for strong men that can liberate the society.
But some how his association with the imperialist nations in the western world can also be his dirty side of his to be trusted for high authorities and powerful position.
Guts only can not make him an ideal person to lead the nation at presidential level.
That's it.
Wadiz
Wasalaam Bazzukulu,

una miyeyysho kusifiasifia serikal ila hapa umeongea ukweliSio Lisu tuu,mtu yeyote mwenye msimamo mkali ni dikteta na mbaya zaidi awe ana ego ya kujiona smart basi mjue nyie wengine atakuwa anawaona wajinga eg Nyerere,Sokoine, Mwendazake,Lisu and the likes of Bashiru,Polepole, Mwigulu,Bashe.
Watu wanaofaa kuwa Marais ni Waungwana ila hao niliowataha wanastahili kuwa chini ya mtu mwingine
Small minds discuss peopleSio Lisu tuu,mtu yeyote mwenye msimamo mkali ni dikteta na mbaya zaidi awe ana ego ya kujiona smart basi mjue nyie wengine atakuwa anawaona wajinga eg Nyerere,Sokoine, Mwendazake,Lisu and the likes of Bashiru,Polepole, Mwigulu,Bashe.
Watu wanaofaa kuwa Marais ni Waungwana ila hao niliowataha wanastahili kuwa chini ya mtu mwingine
Wewe kibwengo tulia mbwa wewe'lopolopo'?? R na l changamoto. 'association with imperialist nations' yani we ni kichwa maji kabisa, kwani Samia anaendaga kukopa na kuomba ela wapi? Hiyo siyo association we bunju?
Kajifunze kuandika kwanza, suala la hoja utajifunza mbeleni, ila kwa sasa deal na vitu vidogo vinavyokushinda, aya tuanze, ra re ri ro ruuuuuu, la le li lo luuuuu rudia tena! Wiki mbili zinakutosha.Wewe kibwengo tulia mbwa wewe
Hawa ndio madiktetaWasalaam Bazzukulu,
Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa.
Kwa sifa hizo mbovu hafai kuwa na cheo cha juu sana cha Urais na Uenyekiti wa Chama chake. Abaki tu na sifa za uanaharakati, na kuwa kwenye front battle ya kupambania haki kitaifa, katiba na kuleta mabadiriko.
I just like him because he has got guts and guts is for strong men that can liberate the society.
But some how his association with the imperialist nations in the western world can also be his dirty side of his to be trusted for high authorities and powerful position.
Guts only can not make him an ideal person to lead the nation at presidential level.
That's it.
Wadiz
Anajifanya anajua au ni ukweli kuwa anajua?Nature inaeleza hivi ukimuona mtu yeyote anayejiona kuwa na Uwezo wa kufahamu kila jambo na asiyetaka kukosolewa na mwenyekujiona yeye ndiye anamawazo bora kuliko wengine, MUOGOPE SANA, HATA NDANI YA CHADEMA WAMEMCHOKA KWELI, ISPOKUWA WANAMSTAHI, HASHAURIKI, HAAMBILIKI, YEYE NDIYE ANAJUA KILA KITU, OGOPA THIS TYPES OF HUMAN BEING!