Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

FREEMASON hawatakiwi kuongelea suala SIASA na DINI.

walikuwa wanaona mbali Sana. 😎😎
 
uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?

Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.

Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.

Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam

Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam

taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.

Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau

lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.

mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Mkuu Uislamu na uarabu kuna sehemu unakutana na kuna sehemu haukutani, Mtume alikuwa mwarabu lazima uache alama kwenye uislamu, ila vitu kama biriani hiyo sio dini sasa ni mapenzi ya mtu, kama vile mtu anavyo penda vyakula aina ya Piza wakati sio asili yake
 
Alie kuzuiya kuomba mvua kama babu zako walivio fanya ninani?hakika dini mbele ya mungu ni usilamu yoyote hatakae jifanyia kuanzisha kufuata tofaoti na uisilamu hatumubaliwa mbele ya muumba wake naye siku ya hukumu hatakuwa ni mwenye kupata khasara
Unaweza kuthibitishaje kuwa dini yako ni ya kweli?
Kwa maneno tu? [emoji3447] washed.

Umesoma madrasa kwa muda gani?
 
IMG-20230627-WA0008.jpg
 
Mtume wetu alikuwa muarabu na sisi tunafuata mila na desturi za mtume wetu kama ilivyohimizwa..
 
Alie kuzuiya kuomba mvua kama babu zako walivio fanya ninani?hakika dini mbele ya mungu ni usilamu yoyote hatakae jifanyia kuanzisha kufuata tofaoti na uisilamu hatumubaliwa mbele ya muumba wake naye siku ya hukumu hatakuwa ni mwenye kupata khasara
We unajuaje kwamba siku ya hukumu muislam ndo atapata faida.
"Whoever tells you he knows what will happen after you die, is either a fool or a lier" ifike mda mkue kutoka hizi Imani za kitoto na za kijinga. Mtu anapaa na farasi juu mbinguni Mara anatembelea Motoni sijui anaona Kuna wanawake wengi, 🤣na nyie mnaskia hizi story mnaogopa...kweli dini ni bangi ya maskini
 
Hakika huu ni Ushahidi tosha, Muhammad was/ is for the Arab community only...na Quran imethibitisha hilo.
Quran haijashushwa na waarabu..imetungwa na mwarabu kwa ajili ya waarabu. So we kuifata ni uwoga na ujinga wako tu
 
Mtume wetu alikuwa muarabu na sisi tunafuata mila na desturi za mtume wetu kama ilivyohimizwa..
Kwa Nini Mungu mmoja aumbe billions of stars ulimwenguni ili amtokee mwarabu mmoja pangoni amuambie sheria zake kiarabu halafu na wewe unafata. 🤣Mungu hajawahi kumtokea mtu kwa sababu hayupo. Kila mtume anajikuta katokewa na Mungu mmoja na muumba Ila sheria zao ni tofauti..hata sheria za Musa na za Yesu Ni tofauti.. ndo ujue dini ni upumbavu mmoja tu umetengenezwa kuendesha watu. Ndo maana waislamu ukiwakosoa wanakimbilia kukupiga mawe, kukunyonga, kukuchinja, wanaishi kwa uwoga wa kuumbuka kwamba dini Yao ni kama nyingine tu, zote ni man made.. 🤣eti final revelation, religion of peace... 😂Full of nonsense... Mungu aumbe watu wote wanaojielewa afu mtume wake awe mtu wa kula mtoto wa miaka 9 kweli... Humu ndani hamna mtu in their right mind anaweza kula mtoto wa miaka 9
 
Wewe hivi unaujua utamaduni WA waarabu kabla ya uislam waarabu walikua na utamaduni mbovu sanaa kabla ya uislam mfano walikua wakizika watoto wao wakike wakiwa hai wakiogopa aibu ya kujulikana kua Wana watoto wakike
Uislamu umekuja kuwastaarabisha waarabu khalas
Hii ni uongo mkubwa sana. Inamaana wake zao na mama zao walitoka kwenye jamii gani Kama walikua hawataki watoto wa kike?
 
Au siyo
 

Attachments

  • Screenshot_20230629_134158_Twitter.jpg
    Screenshot_20230629_134158_Twitter.jpg
    120.3 KB · Views: 4
Back
Top Bottom