Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Acha kukaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji na kudanganywa.Nenda utafute elimu,ni sawa na kumuona daktari kavyaa kipimo shingoni,ukasema kavyaa mkufu.Huyu Lah ni nani?
Kwanini mnabusu jiwe?