Ilikuwaje Allah na shetani ni ma neighbors?Hijja Hailipiwi Mkuu,
Kufikirika ndio Yakini Yenyewe,Mungu hawezi Mleta shetani Mkawa Mnamuona bali ataleta Dalili Za kufikirika za Uwepo wa shetani,Hizo Dalili Zitawasaidia wenye Akili Kujua uwepi wake.
Hata Mungu mwenyewe Ni Wa Kufikirika Kaleta Dalili za uwepi wake Wenye Akili na yakini Tunaamini Yupo.
Kurusha mawe kwenye All Kaaba Ndo Tulichoelekezea Kwenye Vitabu vyetu na katu Wewe Huna akili Kuzidi Kitabu chake.