Aliyeleta Hijja kwa waislamu,anatakiwa asifiwe,na ni msomi kupita wasomi wote duniani,Hijja nchi zote duniani zinafaidika bila kujali dini,kabila,rangi ya mtu,wote wanafaidika
1.Kuanzia pale anayekwenda Hija,kuchukuwa usafiri,kutoka nyumbani kwake,kuanzia Taxi,bajaji,bodaboda,daladala,bila kujali dini,kabila rangi,anakodishwa na kupata pesa.
2.Wenye mabasi wanapata abiria,kutoka moaning mpaka kwenye airport;
3.Akiwa kwenye jiji lenye Inernational Airport,atafikia Hotel,guest house,bila kujali mmiliki ni wa dini gani,kabila gani,atalipia
4.Anayekwenda hijja,atakula chakula,kwa mama lishe,hotel,atalipia pesa bila kujali dini,kabila nk
5.Ndege wanazopanda mahujaji ni mashirika mbali mbali,wanapata kipato wao na kodi za serekali,
6.Yote haya ysnafanyika kwenda na kurudi hijja,mzunguko wa pesa unakuwako.
Ndio hata Yesu na wanafunzi wake wakaigiza waarabu kuvyaa kanzu na kubadhi,
View attachment 2670494