madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Vp kuhusu kwayaTujikubali na asili zetu, tujivunie vyetu.
Dufu ni ngoma za waarabu, kuna ulazima upi kuacha kupiga ngoma zetu sisi za asili yetu Mdundiko, Lizombe,sindimmba,mganda,mdumange,msewe, ?
Sio uvumi andika HuvumiKatika wapumbavu na wewe umo ila uvumi
Hapo nilipo bold nadhani inakua hivyo sababu wana pesa. Wangelikua hawana pesa wangeonekana si lolote si chochote. Hii tunayo watu weusi kwamba watu weupe waarabu, wazungu basi ni watu wenye pesa. Yaani mtu akiona hao watu akili yake inawaza pesa.Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.
Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam
Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam
taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.
Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau
lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.
mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Mfundishe mbusu jiwe mwenzako kwamba kwenye Koran majini Wana surah yaoHuyo ni mrokole
Utajua hujui😅😅😅Hamna kitu kama hicho unalazimisha.
waislam wanavalishana pete?😅😅
Hatuwezi kufanana kabisa na nyie mapunga.
Waislam wanavalishana pete ni kwamba huyu kaenda kfunga ndoa ya kikristo huku angeuliwa😅😅😅Utajua hujui
Ndio ndo maana naenjoy maisha yangu kuliko we unaishi maisha according to muarabu mmoja kusema miaka 1400 iliyopitaMdomo mali yako ulipii kodi ongea uwezavio tukana utakavio lakini kumbuka hiyo siku ambayo itatolewa roho yako huo mdomo wako hauta kusaidia zaidi utaishia kufukiwa na kifusi cha tani 10 wewe na hivio vingereza viako na mdomo wako huo unashia kuoza na kutafunwa na wadudu
🤣 Kingereza kimekuchanganya umekosa hoja ya kujibuMkisha jua kuandika vingereza mnajitoa akili na kuwa na urimbukeni unao sababisha kitokwa na maneno machafu yanayo sukumwa na ushamba na chuki hisiyo na maana
🤣si kasema hivyo kweliUmeanza vizuli kuuliza muisho umevua suruali ukanyea bila haya
Basi na wakristo ni propaganda. Haya yaisheHizi ni propaganda na zipo hata uende google ila sio ruhusa katika nchi za kiislamu ,hayo maandamano ni kwamba wanajua hakuna manipulation na hawaitambui ila upande fulani ndo hivyo.
🤣Very good point yaani.. Mungu hawezi chagua mtu mmoja lugha moja katika nchi moja na tamaduni moja afu useme yupo kila mahali na ni WA wote na WA mda wote. 🤣Wamemtunga huyo AllahNa ingekuwa Kiarqbu ndo lugha ya Mungu, Basi kila mtu angezaliwa anaijua
Mavazi ya uchi ni yapi mkuu? Maana navyojua nguo huvaliwa ili kuficha uchi so ukisema mavazi ya uchi ni sawa kusema kiatu Cha soksiMbona hujauliza kuhusu ukristo nao mavazi ya uchi majina taratibu vp hapo
Hiyo dirham ni uislamu au uarabu!?Kwani ulikatazwa kupiiga ngoma zako?
Wewe kaa ucheze ngoma sisi tunawangoja Waarabu wa DP World waje tutengeneze Dirham.
Unazijuwa Dirham?
Basi na wakristo ni propaganda. Haya yaishe
DP WorldHiyo dirham ni uislamu au uarabu!?
Kanzu aliyovaa Yesu sio kama zenu na hao waarabukaangalie vizur na WA Israel hawavai kanzu Sasa hv hayo ni mavaz ya kaleTuanze na hapo, Mitume kalibu wote walikuwa walikuwa wanavaa kanzu, mfono wake ni pale Yesu kwenye Biblia anaposema mwenye kanzu mbili ampe na mwenzake moja
Unaona sasa kwani hazina jina la kiswahili ??Kwani ulikatazwa kupiiga ngoma zako?
Wewe kaa ucheze ngoma sisi tunawangoja Waarabu wa DP World waje tutengeneze Dirham.
Unazijuwa Dirham?