Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.

Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam

Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam

taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.

Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau

lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.

mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Hapo nilipo bold nadhani inakua hivyo sababu wana pesa. Wangelikua hawana pesa wangeonekana si lolote si chochote. Hii tunayo watu weusi kwamba watu weupe waarabu, wazungu basi ni watu wenye pesa. Yaani mtu akiona hao watu akili yake inawaza pesa.
 
Mdomo mali yako ulipii kodi ongea uwezavio tukana utakavio lakini kumbuka hiyo siku ambayo itatolewa roho yako huo mdomo wako hauta kusaidia zaidi utaishia kufukiwa na kifusi cha tani 10 wewe na hivio vingereza viako na mdomo wako huo unashia kuoza na kutafunwa na wadudu
Ndio ndo maana naenjoy maisha yangu kuliko we unaishi maisha according to muarabu mmoja kusema miaka 1400 iliyopita
 
Mkisha jua kuandika vingereza mnajitoa akili na kuwa na urimbukeni unao sababisha kitokwa na maneno machafu yanayo sukumwa na ushamba na chuki hisiyo na maana
🤣 Kingereza kimekuchanganya umekosa hoja ya kujibu
 
Hizi ni propaganda na zipo hata uende google ila sio ruhusa katika nchi za kiislamu ,hayo maandamano ni kwamba wanajua hakuna manipulation na hawaitambui ila upande fulani ndo hivyo.
Basi na wakristo ni propaganda. Haya yaishe
 
Na ingekuwa Kiarqbu ndo lugha ya Mungu, Basi kila mtu angezaliwa anaijua
🤣Very good point yaani.. Mungu hawezi chagua mtu mmoja lugha moja katika nchi moja na tamaduni moja afu useme yupo kila mahali na ni WA wote na WA mda wote. 🤣Wamemtunga huyo Allah
 
Basi na wakristo ni propaganda. Haya yaishe
20230620_115147.jpg
 
Tuanze na hapo, Mitume kalibu wote walikuwa walikuwa wanavaa kanzu, mfono wake ni pale Yesu kwenye Biblia anaposema mwenye kanzu mbili ampe na mwenzake moja
Kanzu aliyovaa Yesu sio kama zenu na hao waarabukaangalie vizur na WA Israel hawavai kanzu Sasa hv hayo ni mavaz ya kale
 
Mimi ni mkristo, tena naamwini Yesu. Lakini nimekuja kuona wayahudi na waarabu ni watu wa hovyo kutokea kuumbwa kwa hii dunia. Wametuletea mashida mengi. Mweusi kuwa mwaarabu huwa nacheka sana. Tena kwanza hawatupendi. Bora mimi mkristo! Ukristo sio wa wazungu wala wayahudi.
 
Kwani ulikatazwa kupiiga ngoma zako?


Wewe kaa ucheze ngoma sisi tunawangoja Waarabu wa DP World waje tutengeneze Dirham.

Unazijuwa Dirham?
Unaona sasa kwani hazina jina la kiswahili ??
 
Ukweli hoja yako ni kama hoja nzito za baraza la TEC.Njia pekee za kukujibu ni kukutukana.kutafuta madhaifu ya ukristo lakini sio kujibu hoja . Mm sijawahi jua tofauti ya waarabu na waislamu .lakini najua finally tofauti ya warutheli na wajeruman.wakatoliki na waitaly .wabahai na waisrael. Mimi mkatoliki lakini sijui hata maneno 6 ya kiitaly na nimesoma o level seminary na robo ya walimu walikuwa waitaly.na hata shule tulikuwa tunafundishwa ngoma za makabila ya tz hatujawahi imba kiitaly nje ya wimbo wa kumsifu Maria "Ave maria" .kwetu ni full wakatoliki ila ukiondoa mapadre baba yangu ni mjumbe balaza la walei ila ukiondoa kanisani .sijawahi muona kavaa kanzu nyumbani na hajui hata neno moja la kiitaly
 
Back
Top Bottom