Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

ASITOE HUO UJAUZITO, kufanya hivyo ni ubatili, kuna laana pia, hujui kitatokea nini huko mbeleni ndiyo maana Mungu amekupa ujauzito mapema.Chukulia postively.Tulieni mpange namna ya kulea huyo dogo na huo ujauzito.

Kumbuka unavyoandika huu uzi kuna wenzio wanalilia kupata watoto hata wa kusingiziwa hawapati.Hakuna cha ajabu hapo.sema tuu inabidi kujipanga na kumpa mama suport pia ya kisaikolojia.USIMGOMBEZE TAFADHALI.wenyewe wanasemaga mapacha wa nje hao
 
Una hasira mno, nimebaini yafuatayo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Wewe ni mzee a.k.a dingi kabisa uliyeshiba miaka yako 50+. Wewe una hasira na mihemko mno. Mzee wangu acha hizo, matusi ya nini sasa?
 
Ni ngumu, not such easy!
 
Baada ya miezi 9 ya mimba mtoto atakua na umri wa mwaka na miez 9.

Huyo ni mkubwa sana hakuna mtu atawastukia na akistuka mtu hakusaidii chchote bali utaonekana rijali
 
Bahati mbaya hapo iko wapi?
Piga mashine lete watoto ebo!!!!
 
Unachoogoopa ni majirani au ndugu kwamba umempa mimba mkeo ikiwa mna mtoto bado ana miezi tisa?
 
Hongera sana mkuu.
Kwani ujauzito wa mwisho alijifungua kwa operation? Kama jibu ni hapana. Basi hongera tena. Cha muhimu awahi clinic mapema apewe ushauri.. aanze kutumia dawa za madini chuma na folic acid sababu mwili wake bado hauna store ya kutosha..

Upande wako anza kusaka hela kwa wingi maana hao watoto wataenda shule wakati mmoja.
 
Ishi maisha yako.

Andaa bajeti ya kumkuzia huyu aliyezaliwa na mama yake ili afya zao zisiteteleke.

Halafu acha uvulana.
 
Safi
 
Mkuu kwani hao watu unaowaogopa ndo wanawalisha?.

Jiandae kupokea mtoto mwingine. Mama aaweza endelea kunyonyesha huku mjauzito. Hakuna shida.

Hongereni
 
Yaani kumpa mkeo ujauzito ni kujidhalilisha kumbe, kama amna tatizo kwa mkeo lea mimba na hyo mtoto

Miezi 9 ni mingi kwa mtoto kama utasimamia lishe na matibabu kwa ukaribu.

Labda kama unaogopa mimba ikianza kuonekana itajulikana ulikula mama bila kinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…