Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,915
- 5,038
Mkuu ntakupa uzoefu wangu, ilitokea mtoto akiwa na miezi saba au nane... nilifadhaika sana sana nikatoa mpaka hela ya kwenda kutoa hiyo mimba ila wife aligoma kabisa.. basi nikauchuna tuu ilibidi sasa tumwachishe huyu dogo kunyonya ikawa mwendo wa kununua maziwa (SME nini sijui sikumbuki kwa sababu ilikuwa 2010. Basi 2011 akazaliwa wa pili. jamaa wamekua kama mapacha na wanapeana sana kampani wote ni wa kiume. kwa hiyo wee kubali aibu na mwache dogo aje duniani.